Aliyekuwa Mlinzi binafsi wa Gaidi Yahya Sinwar Yusuf Akili (Abu al-Walid) aangamizwa mchana kweupe!!

Aliyekuwa Mlinzi binafsi wa Gaidi Yahya Sinwar Yusuf Akili (Abu al-Walid) aangamizwa mchana kweupe!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Shambulio la Israeli kwenye gari karibu na Makutano ya Hamid katika kitongoji cha magharibi mwa Jiji la Gaza cha Al-Nasser lilimuua Yusuf Akila, anayejulikana kama Abu al-Walid, na binti yake Wafa, huku wengine 6 wakijeruhiwa.

Akila alikuwa kamanda wa jeshi la Hamas na mlinzi wa zamani wa kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar.

============

As a result of an Israeli combat drone attack on a jeep in the western part of Gaza, Abu al-Walid Akili, a high-ranking commander in the military wing of Hamas, was killed.

Details about the Hamas member who was killed in Gaza today:
He is Yusuf Akili, known as Abu al-Walid.
For several years, he was the head of security for the leader of Hamas, Yahya Sinwar, and since the beginning of 2025, he has commanded the "Sheikh Radwan" battalion in the "Gaza" brigade of Hamas's military wing.

Source: Sprinter press
 

Attachments

  • 5899718778781006305.mp4
    3.3 MB
  • IMG_5788.jpeg
    IMG_5788.jpeg
    208.3 KB · Views: 13
Iran anawadanganya sana hawa waarabu na wenyewe kwa ujinga wao wanakubali kuingizwa mkenge. Ngoja tu wauawe. Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom