Aliyekuwa mpiga picha wa Diamond Platinumz atoa ushauri kwa msanii huyo baada ya kumuita mwanaye 'side kid'

Aliyekuwa mpiga picha wa Diamond Platinumz atoa ushauri kwa msanii huyo baada ya kumuita mwanaye 'side kid'

Kifesi ni wa mkoani msiseme ni wa Dar. Sura ngumu lakini analamba lips
 
Aaaah mambo mengine ni kulazimisha tu ili yaonekane mabaya.... hv huko mtaani kwenu hamjawahi wasikia kina mama wakiwaita watoto wao majina ya ajabu kuliko hata hilo la mtoto wa nje? (side kid).... mtoto akifanya kakosa tu utasikia mama yake kamwita "we mbwa utantambua leo".... kwan haya hamyaonagi ndo mmeliona hili kwa domo? Cha msingi fuatilia kazi zake mengine ni maisha yake binafsi.... ndo maana hata mama ntilie akimfokea mtoto wake na kumwita kila jina lililobaya hata km hana kosa hatujawah nyanyua midomo kukemea au kisusa chakula chake... hayo ni maisha yake.... fata mziki wake sio maisha yake... hii nadhani itatufanya tupate cha kujifunza kulingana na kazi anayoifanya na sio maisha yake binafsi... jinsi niishivyo mimi inaweza kuwa ni tofauti kabisa na life style yako lakini naweza kuwa role model wako mkubwa kulingana na kaxi niifanyayo.... ni hivo tu.
 
Hii code mixing ya kiswahili na broken English ni kiboko, ila ingefika wakati Kifesi aachane na huyu jamaa maana sikio la kua halisikii dawa. Bwana Naseeb siku hizi hajui nini cha kuongea na wapi pakuongea sijui amekuaje maana alikuwa mtu mmoja ambaye wasanii wenzake mfano Qchief aliwahi msema vibaya sana lakini yeye kila mara alikuwa akijibu vizuri. Pata pesa tujue tabia yako
 
Akitoa ngoma mpya lazma atafute Kik kwa namna yoyote hata kudhalilisha watu
Mie nashangaa watu hawajamjua tu, Baila Zari alidhalilisha Hamisa, huu jibebe, mumewe tena kamdhalilisha Hamisa, ila binti ana roho ya paka.
 
Mie nashangaa watu hawajamjua tu, Baila Zari alidhalilisha Hamisa, huu jibebe, mumewe tena kamdhalilisha Hamisa, ila binti ana roho ya paka.
Wanamsifia kuwa ni iron lady, kama huo ndo u iron basi ye ni winner
 
Akitoa ngoma mpya lazma atafute Kik kwa namna yoyote hata kudhalilisha watu

Mama ake na muziki wake ndio vitu pekee nahisi Diamond anaviheshimu na kuvithamini ivyo yuko tayari kufanya jambo lolote kulinda ivyo viwili hata kama kuwadhalilisha wazazi wenzie,watoto wake ilimradi muziki wake usogee mbele ila kwa ujumla wanawake wana wakati mgumu sana na uyu mmanyema.
 
Baada ya kugundua hilo nimemdharau sn hata muziki wake siufagilii sana.
 
Huyu jamaa kama angekuwa serious zaidi na kazi yake angepiga hela sana,kwani kufanya kazi na Diamond kumempa umaarufu mkubwa sana na naona anashindwa kuutumia , siku hizi ameamua kuchamba kwa kutumia insta hii si tabia ya kiume.Ujue sisi wanaume huwaga hatuna vinyongo hata tukiwa na beef zetu lakini zinachukuaga muda mfupi na huisha,sasa kwa kulijua hilo kama alikuwa na neno lake basi angewafikishia watu wengine wa karibu na Diamond huo ndio ushikaji ,mimi mwenyewe hata nigombane vipi na marafiki zangu ,hata kama akikosea siwezi kumkosoa mbele ya kadamnasi ,hata kama kaniblock nitatafuta watu wa karibu nitaongea nao wamfikishie ujumbe basi.Sasa yeye analeta habari za wadada wa Bongo Movies.Hebu kifesi fanya kazi yako ,haya maswala ya Diamond na familia yake achana nayo .
Mbona anafanya shughuli zake vzr tu! Sema labda wewe uko busy na diamond ndio maana hujui hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona anafanya shughuli zake vzr tu! Sema labda wewe uko busy na diamond ndio maana hujui hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo bize na mambo Diamond au yy ndiye yupo bize na mambo ya Diamond.Mambo mengine unabidi uwe kama mwanaume ,so unatumia ile busara ya kiume basi,sasa alichokifanya yy kinatofauti gani na wadada wa bongo movies,kakosea jamaa wanaume huwaga hatufanyagi hivyo.Wanaume tunaitana chemba au kama umekorofishana nae bado yule ni jamaa yako kwani mnashare marafiki,so unamwambia rafiki naye akamwambie mshikaji easy like that,sasa ww unaamua kulimwaga insta si ujinga huo.
 
Mama ake na muziki wake ndio vitu pekee nahisi Diamond anaviheshimu na kuvithamini ivyo yuko tayari kufanya jambo lolote kulinda ivyo viwili hata kama kuwadhalilisha wazazi wenzie,watoto wake ilimradi muziki wake usogee mbele ila kwa ujumla wanawake wana wakati mgumu sana na uyu mmanyema.
Ila wenye ndoto na waliokua na ndoto ya kufanywa nae wapo tayari kumvumilia kwa hilo
 
Mwanaume anayemfatilia Kifesi nashindwa Kumuelewa, day one nasikia hilo jina nilijua bonge la mtu, Kumbe Jitu Hovyo Kinoma..
 
Mmapenda kuleta udaku
Tabu hamuukamilishi

Ngoja nikusaidie

View attachment 846225

Nimejiuliza kwa kufanya kote kazi kwake ameshindwa vipi kumpa hata mtu barua yaliyoandikwa haya ili apelekewe.

Kiki kagundishwa naye.. acha amtumie pia kujipaisha. Hii nchi imejaa watu wa ajabu.. ajionee aibu au azae yeye nje tumsikie. Kiki tu hakuna lingine hapa.. atangaze kazi zake basi.. au mkutane mpigane kabisa.. shame
Waambie mods waunganishe ubuyu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa kama angekuwa serious zaidi na kazi yake angepiga hela sana,kwani kufanya kazi na Diamond kumempa umaarufu mkubwa sana na naona anashindwa kuutumia , siku hizi ameamua kuchamba kwa kutumia insta hii si tabia ya kiume.Ujue sisi wanaume huwaga hatuna vinyongo hata tukiwa na beef zetu lakini zinachukuaga muda mfupi na huisha,sasa kwa kulijua hilo kama alikuwa na neno lake basi angewafikishia watu wengine wa karibu na Diamond huo ndio ushikaji ,mimi mwenyewe hata nigombane vipi na marafiki zangu ,hata kama akikosea siwezi kumkosoa mbele ya kadamnasi ,hata kama kaniblock nitatafuta watu wa karibu nitaongea nao wamfikishie ujumbe basi.Sasa yeye analeta habari za wadada wa Bongo Movies.Hebu kifesi fanya kazi yako ,haya maswala ya Diamond na familia yake achana nayo .
Asipoutumia vizuri umaarufu alioupata atajutia sana huko mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom