TANZIA Aliyekuwa Msajili wa Makandarasi, Joe Malongo afariki dunia

huyu mwamba na aliyekuwa katibu mkuu wizara ya ujenzi mhandisi Joseph Malongo ni ndugu? naona kama wanafanana kiaina ila yule mwingine alikua sura ya ulevi
 
huyu mwamba na aliyekuwa katibu mkuu wizara ya ujenzi mhandisi Joseph Malongo ni ndugu? naona kama wanafanana kiaina ila yule mwingine alikua sura ya ulevi
Ni huyo huyo mkuu, aliunga juhudi za JPM, naye hakumsahau katika teuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…