TANZIA Aliyekuwa Msajili wa Makandarasi, Joe Malongo afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Msajili wa Makandarasi, Joe Malongo afariki dunia

kama ndio mwenyewe basi mlitakiwa mlete picha alivyokuwa katibu mkuu alipauka sanaaaa pamoja na kuwa na cheo pia uzi ungesomeka aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wiraza ya ujenzi,
😊😊Raha yako umwone tu alivopauka, si umwangalie kwenye album yako tu mkuu😊
 
kama ndio mwenyewe basi mlitakiwa mlete picha alivyokuwa katibu mkuu alipauka sanaaaa pamoja na kuwa na cheo pia uzi ungesomeka aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wiraza ya ujenzi,
Sisi walalahoi tulimjua vyema alivyosimamia vikampuni vyetu vya ukandarasi kujiinua na kutambulika.
Tulimlea vyema.
Huko.mliko.juu ndo mlete hizo picha mnazozifahamu na jinsi mlivyompausha.
 
huyu mwamba na aliyekuwa katibu mkuu wizara ya ujenzi mhandisi Joseph Malongo ni ndugu? naona kama wanafanana kiaina ila yule mwingine alikua sura ya ulevi
ukishakua na sura kama marehemu ndo outcome zake , you go off early ....ziping up and skirting up ni nguzo Bora ya maisha yako
 
huyu mwamba na aliyekuwa katibu mkuu wizara ya ujenzi mhandisi Joseph Malongo ni ndugu? naona kama wanafanana kiaina ila yule mwingine alikua sura ya ulevi
Alistaafu akiwa KM Ofisi ya Makamu wa Rais ila ni kweli alikuwa amechoka sana hivi mwishoni.

RIP Eng Malongo
 
Back
Top Bottom