harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
๐๐Raha yako umwone tu alivopauka, si umwangalie kwenye album yako tu mkuu๐kama ndio mwenyewe basi mlitakiwa mlete picha alivyokuwa katibu mkuu alipauka sanaaaa pamoja na kuwa na cheo pia uzi ungesomeka aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wiraza ya ujenzi,
Sisi walalahoi tulimjua vyema alivyosimamia vikampuni vyetu vya ukandarasi kujiinua na kutambulika.kama ndio mwenyewe basi mlitakiwa mlete picha alivyokuwa katibu mkuu alipauka sanaaaa pamoja na kuwa na cheo pia uzi ungesomeka aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wiraza ya ujenzi,
ukishakua na sura kama marehemu ndo outcome zake , you go off early ....ziping up and skirting up ni nguzo Bora ya maisha yakohuyu mwamba na aliyekuwa katibu mkuu wizara ya ujenzi mhandisi Joseph Malongo ni ndugu? naona kama wanafanana kiaina ila yule mwingine alikua sura ya ulevi
Pole mkuuRip eng
Juzi tu tulikuwa tunataka tuje tukutembelee na mzee hapo hosp ukasema you need privacy na ulikuwa unaendelea vizuri leo asb ur gone ๐
Alijua anaondoka that's y hakutaka kuonana nanyiRip eng
Juzi tu tulikuwa tunataka tuje tukutembelee na mzee hapo hosp ukasema you need privacy na ulikuwa unaendelea vizuri leo asb ur gone ๐
Vipi kuhusu uadilifu wake ofisini ?View attachment 2578414
Engineer Joseph Malongo, aliyewahi kuwa mfanyakazi hatimaye Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, amefariki dunia asubuhi leo, katika hospitali ya Mlonganzila.
RIP Eng Joe Malongo.
Ila mloganzila...anyway may his soul rest in peaceView attachment 2578414
Engineer Joseph Malongo, aliyewahi kuwa mfanyakazi hatimaye Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, amefariki dunia asubuhi leo, katika hospitali ya Mlonganzila.
RIP Eng Joe Malongo.
Alistaafu akiwa KM Ofisi ya Makamu wa Rais ila ni kweli alikuwa amechoka sana hivi mwishoni.huyu mwamba na aliyekuwa katibu mkuu wizara ya ujenzi mhandisi Joseph Malongo ni ndugu? naona kama wanafanana kiaina ila yule mwingine alikua sura ya ulevi