TANZIA Aliyekuwa msajili wa Vyama vya michezo nchini, Riziki Majala afariki

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Aliyekuwa msajili wa Vyama vya michezo nchini Riziki Majala afariki .

Chanzo cha kifo inasemekana ni ugomvi kati yake na mwanae ambae inadaiwa ana shida ya akili baada ya kukataa kumpa hela ukazuka ugomvi uliopelekea kifo.
Your browser is not able to display this video.
 
Kizazi cha 2000 wakikosa hela ya pombe +bando basi shida tupu

Ova
 
Kwa hio dogo kamuua Mzee wake? Mboni story haijakamilika
 
Kama alikuwa na tatizo la Afya ya Akili basi Mzee alikosea kutokumpeleka Mirembe,matokeo yake ndio haya
 
Usiisingizie bangi
😄 wengine bangi wakipiga inawapelekesha+sasa akichanganya na pombe si balaa
Alafu hao watoto hapo,mzee wao alikuwa anakaa na mama yao ambaye ni wa kambo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…