Aliyekuwa mtaalam wa viungo Simba SC atua APR ya Rwanda

Aliyekuwa mtaalam wa viungo Simba SC atua APR ya Rwanda

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Mtaalamu wa Viungo aliyewahi kuhudumu ndani ya timu ya Simba Adel Zrane amewasili nchini Rwanda tayari kwa kujiunga na Timu ya APR.

Huyu ndiyo kiumbe pekee ambaye alifanikiwa sana katika kipindi chake pale Msimbazi kuthibiti viungo vya wachezaji kiasi kwamba kikosi hakikuwa na majeruhi wengi.

Hawa ndio WATU Muhimu WA kuwa nao Kwenye Benchi la UFUNDI.

Simba Kuna Makosa FLANI Huwa wanayafanya na yanawagharimu sana Baadaye.

Niliwapa Onyo kwa DEJAN, OKWA, Ottara , sawadogo na sasa Huyu KIPA.

Wana Mawinga 8.
Mabeki WA kati WA MAANA 2.
Akiumia Inonga KWISHA Habari.

Na mashindano ni mengi mno
Ferg anasema safu Bora ya ushambuliaji inashindwa MAGOLi, Mabeki wanashinda UBINGWA.

SIMBA WATANIKUMBUKA.
 
Huyu ndiyo kiumbe pekee ambaye alifanikiwa sana katika kipindi chake pale Msimbazi kuthibiti viungo vya wachezaji kiasi kwamba kikosi hakikuwa na majeruhi wengi.
Hakuna uhusiano kati ya utaalamu wa viungo na udhibiti wa majeruhi, huwa ni stori tu za watu wasio na uelewa. Hivi mtaalamu wa viungo atazuiaje kuumia kwa mchezaji aliyechezewa rafu mbaya? Kazi kubwa nikusimamia majeruhi watimize walichoagizwa na madaktari (sio na yeye) ili warudi kuwa fit, sio kuzuia kupatikana kwa majeruhi

Responsibilities
  • Identify the clients’ fitness level and health
  • Oversee completion of exercise routines
  • Track clients’ physical progress
  • Modify exercise plans based on needs, potential injuries or health issues
  • Conduct individual and group fitness training sessions
  • Adopt a holistic training approach (e.g. cardiovascular exercise, strength)
  • Oversee the use of fitness equipment to ensure clients exercise properly and safely
  • Handle nutrition and health-related questions
  • Refer to and promote fitness packages and plans
  • Carry out First Aid and CPR if needed
  • Follow safety and hygiene guidelines
 
Hawa ndio WATU Muhimu WA kuwa nao Kwenye Benchi la UFUNDI.

Simba Kuna Makosa FLANI Huwa wanayafanya na yanawagharimu sana Baadaye.

Niliwapa Onyo kwa DEJAN, OKWA, Ottara , sawadogo na sasa Huyu KIPA.

Wana Mawinga 8.
Mabeki WA kati WA MAANA 2.
Akiumia Inonga KWISHA Habari.

Na mashindano ni mengi mno
Ferg anasema safu Bora ya ushambuliaji inashindwa MAGOLi, Mabeki wanashinda UBINGWA.

SIMBA WATANIKUMBUKA.
Simba ndio timu iliyoruhusu mabao machache msimu uliopita. Msimu huu imeondoa beki wawili wa kati (Onyango na Outarra), imeongeza wawili (Fondoh na Kazi). Bado kuna backup ya Kennedy. Kwa mabao waliyoruhusu mwaka jana, uboreshaji hata haukutakiwa kuwa mkubwa
 
Back
Top Bottom