Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Hakuna uhusiano kati ya utaalamu wa viungo na udhibiti wa majeruhi, huwa ni stori tu za watu wasio na uelewa. Hivi mtaalamu wa viungo atazuiaje kuumia kwa mchezaji aliyechezewa rafu mbaya? Kazi kubwa nikusimamia majeruhi watimize walichoagizwa na madaktari (sio na yeye) ili warudi kuwa fit, sio kuzuia kupatikana kwa majeruhiHuyu ndiyo kiumbe pekee ambaye alifanikiwa sana katika kipindi chake pale Msimbazi kuthibiti viungo vya wachezaji kiasi kwamba kikosi hakikuwa na majeruhi wengi.
Simba ndio timu iliyoruhusu mabao machache msimu uliopita. Msimu huu imeondoa beki wawili wa kati (Onyango na Outarra), imeongeza wawili (Fondoh na Kazi). Bado kuna backup ya Kennedy. Kwa mabao waliyoruhusu mwaka jana, uboreshaji hata haukutakiwa kuwa mkubwaHawa ndio WATU Muhimu WA kuwa nao Kwenye Benchi la UFUNDI.
Simba Kuna Makosa FLANI Huwa wanayafanya na yanawagharimu sana Baadaye.
Niliwapa Onyo kwa DEJAN, OKWA, Ottara , sawadogo na sasa Huyu KIPA.
Wana Mawinga 8.
Mabeki WA kati WA MAANA 2.
Akiumia Inonga KWISHA Habari.
Na mashindano ni mengi mno
Ferg anasema safu Bora ya ushambuliaji inashindwa MAGOLi, Mabeki wanashinda UBINGWA.
SIMBA WATANIKUMBUKA.