TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa Kiss FM na RFA Dee7 afariki dunia

Dah my Condolesence kwa nigga Dee7... Mbele yetu nyuma yako ntakukumbuka sana kwa Top Ujazzo ya African Beats pale Kiss fm kiss fm chiuw chiuw chiuw. You made me a happy soul on my teens.
Akiwa na Sharifa Abubakary.. Kiss FM imesetiwa kwenye MONO sound mode, hakuna kelele za hovyohovyo (michicha). Ni mwendo wa kupangua ngoja ya 10 mpaka ya 1.

Chiew chiew chiew
 
Kipindi nakuwa niliwajua wakina Geez Mabovu, John Makin na Underground wengi sana wa HipHop kutoka Iringa, Mbeya etc kupitia Brother Dee7 ingawa tulikuwa tunawasikiliza sana wakina Dozen na Mchovu. Rest In Peace brother
 
Juma Ahmed Baragaza, Muhsin Mambo, Fred 'Fredwaa' Fidelis, Zuberi Msabaha (mzee wa bolingo time), Prince Baina Kamukulu na sasa ndugu yetu Dee7.

Nadhani ni mipango ya Mwenyezi Mungu, na sio msongo wa mawazo kama unavyosema.
Pale malipo chenga, naweza kukubaliana na huyo jamaa, kuna yule mtangazi wa habari za kimataifa alifariki, mkewe kuhojiwa akadai Mzee alikuwa na stress, mshahara miezi hajapewa
 
Nakumbuka afrikan beats ilikuwa inaanza mnakula ngoma kwanza alafu ndio wanaanza intro sasa huyu mwamba ana sauti nzito na yule manzi ana sauti nyororo aisee nilikuwa sijutii kupoteza muda wangu kusikiliza kiss fm enzi zile sio hawa machoko wa siku hizi....Rip a real dawg of all time.
 
Daah wana wanaondoka tu,...Juzi juzi tumempoteza Dj Steve mwenye Skills, now tena My brother Dee7.
 
Dah huzuni kubwa hip hop ilibebwa mabegani kwa huyu soldier..rip mwamba
Top ujazo sauti ya mamlaka kuanzia mida ya saa kumi na mbili jioni ilikua lazima nimsikilize.
 
Rest in peace Dee 7 one of the best talent. African beat ilikuwa on fire those days mkakimbiza hadi radio za mjini.
 
Mbele yake nyuma yetu. Apumzike kwa Amani mpendwa wetu.
 
Pumzika kwa amani kaka, ulitupa burudani sana pale kiss fm
 
Daaaah ilikuwa akikaa dee 7,dj Jeffy Jerry, the black the sweeter the juice kipindi kilikuwa Bomba sana.
Apumzike Kwa amani.
 
Rest in peace brother kijana wa nzega mwanala
 
Alikua poa sana jamaa ..,sauti yake ilikua nzuri sana kiutangazaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…