Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa na Sharifa Abubakary.. Kiss FM imesetiwa kwenye MONO sound mode, hakuna kelele za hovyohovyo (michicha). Ni mwendo wa kupangua ngoja ya 10 mpaka ya 1.Dah my Condolesence kwa nigga Dee7... Mbele yetu nyuma yako ntakukumbuka sana kwa Top Ujazzo ya African Beats pale Kiss fm kiss fm chiuw chiuw chiuw. You made me a happy soul on my teens.
Pale malipo chenga, naweza kukubaliana na huyo jamaa, kuna yule mtangazi wa habari za kimataifa alifariki, mkewe kuhojiwa akadai Mzee alikuwa na stress, mshahara miezi hajapewaJuma Ahmed Baragaza, Muhsin Mambo, Fred 'Fredwaa' Fidelis, Zuberi Msabaha (mzee wa bolingo time), Prince Baina Kamukulu na sasa ndugu yetu Dee7.
Nadhani ni mipango ya Mwenyezi Mungu, na sio msongo wa mawazo kama unavyosema.
Na ana muda alikua kalazwa pale bana daah!
Duh umu kuna vibabuR.i.P Classmate...😥
Ubabu ni swala la muda tu!Duh umu kuna vibabu
Daaaah ilikuwa akikaa dee 7,dj Jeffy Jerry, the black the sweeter the juice kipindi kilikuwa Bomba sana.Dee7 (jina lake maarufu) aliekuwa mtangazaji wa radio Kiss FM ya jijini Mwanza amefariki dunia hapo jana tarehe 23.09.2023.
Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kipindi cha African Beats pale Kiss FM mtakuwa mnaikumbuka vyema sauti yenye mamlaka ya huyu ndugu yetu na bila kusahau mchango wake mkubwa wa kuzipatia airtime nyimbo nyingi za underground hiphop artists wa kibongobongo.
To put it short, this brother had unconditional love to the game of bongo hiphop. Bila kusahau mapenz yake aliyokuwa nayo na mziki wa reggae...
View attachment 2760460
Tumuombee marehemu apate pumziko la amani. Amiin[emoji1488]
Rest in peace brother kijana wa nzega mwanalaDee7 (jina lake maarufu) aliekuwa mtangazaji wa radio Kiss FM ya jijini Mwanza amefariki dunia hapo jana tarehe 23.09.2023.