TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa Kiss FM na RFA Dee7 afariki dunia

Pale malipo chenga, naweza kukubaliana na huyo jamaa, kuna yule mtangazi wa habari za kimataifa alifariki, mkewe kuhojiwa akadai Mzee alikuwa na stress, mshahara miezi hajapewa

Samadu Hassan. Ila nashangaa Sana Samadu na ubora huo hata BBC hawakumuona.
 
Hivi yule mwanadada wa kuitwa Sharbano wa Kiss fm kipindi hichoo yuko wapi?
 
Aisee, D7 mwamba kaondoka? Maisha mafupi sana, nini kimesababisha kifo chake?

Alikuwa mwana sana, tumepiga nae mastori sana enzi za BBM, alitoaga option ya kutuma Voice kwa BBM account yake (2012).

Rest in Peace bro.
Mtazame vizuri usoni na ngozi ,utagundua shida
 
Yaani hata mimi huwa najiuliza sana Dah yule dada alikuwa na sauti flan nzuri kiukweli
Pamoja na yote, sound ya kiss FM na RFA sio mchezo. Ni baba lao, Mono ya maana, sio michele michele (stereo) ya radio ya wafu na nyinginezo. Ile mono ya kiss fm ukiweka na jingle yao ile..dah

Hapo Jumamosi unasikiliza The Weekend Top 30 na Ryan Seacrest..unyama sana🔥💥
 
Hivi unaelewa maana ya neno "stereo" mkuu?
 
Bado yupo Kiss FM ila kwa sasa yupo kwenye utawala ni Radio Manager/Editor
Basi arudishwe kuwa mtangazaji, maana kwa sasa redio imekuwa mbaya mno. Asubuhi imekua na vipindi kama vya kina Mwijaku na kina Baba Levo.. yaani zile content kama za JK (John Karani) enzi za the Morning Kiss (Topic of the day) vimekufa kabisa
 
Basi arudishwe kuwa mtangazaji, maana kwa sasa redio imekuwa mbaya mno. Asubuhi imekua na vipindi kama vya kina Mwijaku na kina Baba Levo.. yaani zile content kama za JK (John Karani) enzi za the Morning Kiss (Topic of the day) vimekufa kabisa
Morning kiss kilikuwa kipindi kizur Sana asubuhi.. Morning kiiiiissssssss
 
Hivi inakuwaje watangazaji wa radio free na kiss fm wamekufa sana?
 
Nimemkumbuka jamaa Mida ya 12:00 jioni nilikua skuli na redio yangu pale Arusha nasikiliza ngoma za ukweli, Kiss fm ilikua yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…