We yote uliyojifunza kwenye dini,itikadi utamaduni,mila na desturi zako unaushahidi na hakika navyo...Mambo ya kitoto mtoto kufanya na watoto wenzake tunasema watoto wanacheza ila mambo ya kitoto mtu mzima kumfanyia mtu mzima mwenzake ni wakini (mpoto),wewe una walakini mkubwa sana.Kaburi lina adhabu gani na misemo yenu hiyo ya ajabuajabu ukifa utuletee mrejesho iwapo kuna adhabu humo mchangani
Ni misemo tu ya kipumbavu isiyo na maana mfu hajui lolote sasa hizo adhabu zinatoka wapi mfu aliyewahi kufa akafufuka tu ndio akisema hivyo nitamuamini sio nyie mnaovuta pumziWe yote uliyojifunza kwenye dini,itikadi utamaduni,mila na desturi zako unaushahidi na hakika navyo...Mambo ya kitoto mtoto kufanya na watoto wenzake tunasema watoto wanacheza ila mambo ya kitoto mtu mzima kumfanyia mtu mzima mwenzake ni wakini (mpoto),wewe una walakini mkubwa sana.
Labda na wao ni wateja so wanajuana.JF kuna watu , yaani wakimwangalia tu wanajua alikua mteja wa mbaazi aka vindugai duuu hatari sana , Tanzania nchi nzuri sana
Inawezekana lakini mimi nilikuwa nasikiliza tangu enzi hizo niko primary school. Tulikuwa na yale maredio makubwa aina ya SHANGAI na tulikuwa haturuhusiwi kuligusa mpaka afike mjomba wetu kulifungua na ndiyo tulikuwa tunasikiliza.Sio kweli. Mambo nimemsikiliza miaka ya 2000 mwanzoni mara ya mwisho KBC.
Logically premise zako hazina logic...Mkuu tupo ili tufe hakuna kifo cha bahati mbaya kwa Mungu iwe ajari malaria kujiua hata korona yote ni mipango ya Mungu kama utaki kufa ni bora ujiue tu[emoji4]
Mkuu kama miaka ya 60 hadi 70 ulikua shule ya msingi basi wewe ni mzee wangu maana huko ni mbali sana kwangu.Inawezekana lakini mimi nilikuwa nasikiliza tangu enzi hizo niko primary school. Tulikuwa na yale maredio makubwa aina ya SHANGAI na tulikuwa haturuhusiwi kuligusa mpaka afike mjomba wetu kulifungua na ndiyo tulikuwa tunasikiliza.
Hayo ya mwaka 2000 mimi hata hapo nyumbani sikuwepo tena nilikuwa na maisha yangu na wala nilikuwa sisikilizi tena hicho kipindil
Kweli mbongo mpe picha tu, hadithi atamalizia mwenyeweMungu ampunguzie adhabu ya kaburi. Lakini picha inaonyesha kama alikuwa mteja wa ushauri nasaha. Mtumiaji wa kunde
Nahisi version 4 itakuwa Theeta (theta)Baada ya
Delta
Lambard itakuwa released
Baadae......
Unazungumzia Prince Baina KamukuluHuyu ndo yule jnaa wa nyimbo za kihindi?
Release yake inategemewa mwezi wa kumi hivi au mwakani kulingana na muitikioNahisi version 4 itakuwa Theeta (theta)
hahahahahahaaNgoja madalali wa chanjo waje kumwaga vitisho
Hakuna shida ndiyo mfumo wa maisha wengine wanakufa na wengine wanazaliwa. Mimi nilidhania kile kipindi kilikuwa hakisikiki tena kumbe kimekwenda muda mrefu vile!Mkuu kama miaka ya 60 hadi 70 ulikua shule ya msingi basi wewe ni mzee wangu maana huko ni mbali sana kwangu.
Nakumbuka Leonard Mambo Mbotela nimemsikiliza KBC Swahili Service hadi mwaka 2006. Kipindi maarufu alichokua anakiendesha kati ya vingine ni hicho cha Je huu ni ugwana, la hasha huu si uungawana. Hata Radio Free walipokuja kuanzisha hicho kipindi nilijua ni hiyo aidea wameitoa kwa Mambo.