kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 938
Lesego Motsepe aliekuwa mwigizaji katika tamthiliya ya Isidingo amefariki ghafla leo saa tano asubuhi nyumbani kwao huko Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 40.Lesego aliyekuwa anaigiza kama Letti Matabane kwenye tamthiliya hiyo alijitangaza rasmi mwaka 2011 kuwa ni mwathirika wa HIV/AIDS.Akitangaza desemba ,2011 kuwa yeye ni mwathirika ,alisema aligundulika kuwa ni mwathirika na amekuwa akiishi na virusi hivo tokea akiwa na umri wa miaka 23 ambao ulikuwa ni mwaka 1997.R.I.P LETTI.UPHUMLE NGOXOLO SISI.
Yooooh!! At last... Ameteseka sana.
BOFYA.
ISIDINGO The Need Star, LETTI MATABANE Reveals HIV STATUS Am HIV Positive And The VIRUS Has Been In My BLOOD For 13 Years
Cape Town South African actress Lesego Motsepe has decided to reveal that she is HIV positive on World Aids Day, reports Eye Witness News.
