Aliyekuwa muigizaji wa Isindigo maarufu kwa jina la Letti Matabhane Afariki

asante NEIWA kwa kunijuza. nilikuwa mfuatiliaji mzuri sana wa hii tamthiliya miaka ya nyuma. na nilidhani Letti ameshakufa ndo maana nilipopata hii habari nilistuka, kidogo tu ningehoji na yule aliyefariki miaka ile alikuwa ni nani. ila kumbe aliamua kupumzika na wakaamua kutumia njia ile dah, asante sana mkuu. siku hizi kila ninapopbahatika kuitazama hii tamthiliya huwa nakumbuka sana LEE. huyu nae alifariki miaka ya nyuma alikuwa anaigiza kama mtoto wa barker haines. dah isidingo long time sana
 
hivi derik nyathi bado yupo? sijamuona muda

Huyu yupo amerudi tenaa nilikua napenda waliklvyokua wanapendana na yule mzungu wa kike nishasahau jinaaa lol
Siku hiz siingalii kabisaa isidingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…