Aliyekuwa mume wa aunt Ezekiel kuachiwa huru, Dubai

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,851
Herehoa?,

Kutoka vyanzo vya kuamkinika kabisa vinadai aliyekuwa mume wa star wa bongo movie aunt Ezekiel, anaejulikana kwa jina Sunday Demonte aachiwa guru,
Swali:Hivi kumbe mkata viuno alichukua Mali ya wenyewe au alikuwa na ushahidi wa talaka?


Haya mambo haya naombeni wadukuze tujuzane tafadhal.

thA God thA bubbs!!
 
huyo jamaa si kuku mtamu a.k.a delicious? ile ndoa ilikuwa ni cover up yaani kwa kifupi aunty alikuwa ni "beard" wake.
 
humu JF kuna majukwaa mengi ulitaka celebrities forum
tuanze kujadili kilimo cha matikiti ????????????


Upo sijakuona kitambo sana, kwanza nashukuru umerudi tena japo kwa kunyapia nyapia

Kwanini tukwaruzane kwa hili, nisamehe sana kama nimekukwaza au vipi?
 
Upo sijakuona kitambo sana, kwanza nashukuru umerudi tena japo kwa kunyapia nyapia

Kwanini tukwaruzane kwa hili, nisamehe sana kama nimekukwaza au vipi?
Haaa nipo.. na wewe upo kweli hii Id sijaiona kitambo. Hujanikosea wala kunikwaza mpenzi
 
Fanya yako achana na mambo ya umbea, nchi inashida nyingi zinahitaji fikra siyo mambo ya kijinga ya watu
Mkuu una shilingi ngapi a/c?
Mimi nina vimilioni sasa sijui bado unasapoti akili bila pesa

thA God thA bubbs!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…