PreGE2025 Aliyekuwa Mwandishi wa Habari MCL, Daniel Makaka ajitosa kugombea Udiwani Bulyaheke kupitia CCM

PreGE2025 Aliyekuwa Mwandishi wa Habari MCL, Daniel Makaka ajitosa kugombea Udiwani Bulyaheke kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Daniel Makaka amechukua fomu ya kugombea udiwani wa Bulyaheke wilayani Sengerema kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Makaka amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM kata ya Bulayeheke, Cosma Matu

alie.png
 
Back
Top Bottom