PreGE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Mbagala Khadija Mwago atinga kwenye mkutano wa CHAUMMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) Mbagala, Khadija Mwago (wa kwanza kulia) akiwa na makada wengine wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kwenye viunga vya Golden Tulip, vinakofanyika vikao viwili vya chama hicho leo Mei 19, 2025.

bawacha.png
 
Sasa si uhuru wake wa kuchagua, kwani kuna ubaya gani?😂
 
Back
Top Bottom