Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Elias Ngorisa achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Ngorongoro kupitia CCM

nassymuller

Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
30
Reaction score
8
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ngorongoro Elias Ngorisa amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM kuteuliwa kuwania nafasi hiyo ambapo amesema lengo kuu kuwania nafasi hiyo ni kushirikiana na wana-ngorongoro katika kuwaletea maendeleo pamoja na kuwapambania Maslahi Yao Jimboni Humo.
 
aliyewahi kuwa sio aliyekuwa ..Mwenyekiti wa halamashauri.

Aliyekuwa mwenyekiti Siroma..hiyo ni zilipendwa
 
Nakutafuta ndugu Elias Ngorisa (former Ahmad Ngorisa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…