TANZIA Aliyekuwa Mwenyekiti wa TATA GROUP (Ratan Tata) afariki dunia

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Padma Vibhushan Ratan N Tata (Ratan Tata) mwenye asili ya India, alikuwa mwenyekiti wa Kampuni Kubwa ya Uwekezaji inayoitwa TATA GROUP. Ambayo imejikita katika maswali mbalimbali, ikiwemo usafirishaji, Vyakula, Usafiri wa anga.

Ratan Tata Amefariki leo akiwa na umri w miaka 86, katika hospital ya MUMBAI jioni ya leo Tarehe 9/10/2024, ambapo alipelekea Hospitali tarehe 7 kwa matatizo ya Uzee na Presha

Ratan Tata alizaliwa Disemba 28 mwaka 1937. Atakumbukwa kwa maneno yake ambayo mengi yamewafunza vijana wengi katika sekta ya uwekezaji na biashara.

Zifaamu brand zilizo chini ya TATA GROUP

 
Huyu aliwahi kuwa na mtoto?
Huyu mzee alikuwa haonekani kwenye list ya top richest in the world kwa sababu pesa alikuwa anatoma misaada sana.
Ametoa misaada zaidi ya dola 106 bilioni. Hawa ndio wale Ma Philanthropist wa kweli!
RIP TATA!!
 
Ratan amesaidia sana TATA kupata mafaniko ambayo kampuni nyingi zinatamani kuyafikia. Kwa mwaka TATA wana mapato ghafi zaidi ya USD100 Bil....zaidi ya uchumi wa Tanzania
Jamaa alikuwa ni mtoaji sana wa misaada.
Lakini mpaka kifo bado alikuwa kabwela na sidhahi kama alikuwa na mtoto
 
Duu, hili balaa kubwa, ila kama yeye ni binadamu na aliweza, sioni ni kwa mbinu ipi nami si kama huyu sasa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…