Ghost MVP
JF-Expert Member
- May 19, 2022
- 439
- 736
Padma Vibhushan Ratan N Tata (Ratan Tata) mwenye asili ya India, alikuwa mwenyekiti wa Kampuni Kubwa ya Uwekezaji inayoitwa TATA GROUP. Ambayo imejikita katika maswali mbalimbali, ikiwemo usafirishaji, Vyakula, Usafiri wa anga.
Ratan Tata Amefariki leo akiwa na umri w miaka 86, katika hospital ya MUMBAI jioni ya leo Tarehe 9/10/2024, ambapo alipelekea Hospitali tarehe 7 kwa matatizo ya Uzee na Presha
Ratan Tata alizaliwa Disemba 28 mwaka 1937. Atakumbukwa kwa maneno yake ambayo mengi yamewafunza vijana wengi katika sekta ya uwekezaji na biashara.
Zifaamu brand zilizo chini ya TATA GROUP