Aliyekuwa Rais wa Marekani Joe Biden akutwa na saratani ya Tezi dume

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Rais Biden akutwa na saratani ya tezi dume, imesambaa kwenye mifupa
Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden (82) amegundulika kuwa na ugonjwa wa saratani ya tezi dume ambayo imesambaa hadi kwenye mifupa yake.

Saratani ni ugonjwa ambao hutokea pindi ukuaji wa seli mwilini unapotokea katika namna isiyoweza kudhibitiwa na kuenea kwa kasi kwa mujibu wa Shirika la Utafiti wa ugonjwa huo (Cancer Research UK).

Taarifa iliyotolewa jana Jumapili kutoka ofisi ya Biden, imesema kiongozi huyo aliyeondoka madarakani Januari, mwaka huu alibaini Ijumaa baada ya kuonana na daktari wiki iliyopita kutokana na dalili zilizojionesha katika njia ya mkojo.

Ofisi yake imeongeza kuwa saratani aliyokuwa nayo Biden haiathiriwi na homoni, hivyo inaweza kudhibitiwa.

Katika taarifa ya Jumapili, ofisi ya Biden ilisema: "Siku ya Ijumaa, aligunduliwa na saratani ya kibofu, yenye alama ya Gleason ya 9 (Daraja la 5) na metastasis kwenye mfupa.

Kutokana na taarifa hiyo, Rais Donald Trump ameandika kwenye mtandao wake wa kijamii wa ‘Truth Social’ kuwa yeye na mke wake, Melania Trump, "Tunasikitika kusikia kuhusu kilichobainika hivi karibuni wakati wa uchunguzi wa Joe Biden."

1747641235257.png
 
Shetani ajawai mshinda Mungu kachangia pakubwa kwenye mauwaji ya kutisha ya kizazi cha Wapalestina !!!!

leo nayeye anapigania uhai wake ili roho isimponyoke!!!!

Nini unaweza sama zaid kuwa Dunia inayo mwenyewe ishi kwa wema na Binadam wengine !!!!

ww sio lolote wala Binadam awatoweza kukukumbuka milele ata ufanye nn mpe kile!!!

uwa watu ata milion 1 bado watakusaau tu ata watoto wako itafika wkt watazoea kukusaau baada ya kufa kwako!!!!

usipoteze uhai wawengine kama vile ww pia utategemea wengine ili kubaki na roho yako.. yumkin baadhi ya ma Doctor ni Waislam au ni Doctor bingwa ni Mpalestine,,

awe cristian au muislam lkn Mpalestine.. !!

upo hoi ndio baadae ukibaki na uhai wako unaanza kutafuta Waandishi habari utoe kitabu lengo kuu kuomba msamaha Binadam uliowakwaza.!!!
 
Ayatollah ana stroke, upande mmoja ume paralyse
 
Kwa hiyo wote wanaogua saratani hua wamewaua wapalestina mbona magaidi wa kiislamu wanapoua watu hamji humu kulaani, acheni unafiki kifo kipo kwa kila mtu.
 
Rais Biden akutwa na saratani ya tezi dume, imesambaa kwenye mifupa
Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden (82) amegundulika kuwa na ugonjwa wa saratani ya tezi dume ambayo imesambaa hadi kwenye mifupa yake.

Saratani ni ugonjwa ambao hutokea pindi ukuaji wa seli mwilini unapotokea katika namna isiyoweza kudhibitiwa na kuenea kwa kasi kwa mujibu wa Shirika la Utafiti wa ugonjwa huo (Cancer Research UK).

Taarifa iliyotolewa jana Jumapili kutoka ofisi ya Biden, imesema kiongozi huyo aliyeondoka madarakani Januari, mwaka huu alibaini Ijumaa baada ya kuonana na daktari wiki iliyopita kutokana na dalili zilizojionesha katika njia ya mkojo.

Ofisi yake imeongeza kuwa saratani aliyokuwa nayo Biden haiathiriwi na homoni, hivyo inaweza kudhibitiwa.

Katika taarifa ya Jumapili, ofisi ya Biden ilisema: "Siku ya Ijumaa, aligunduliwa na saratani ya kibofu, yenye alama ya Gleason ya 9 (Daraja la 5) na metastasis kwenye mfupa.

Kutokana na taarifa hiyo, Rais Donald Trump ameandika kwenye mtandao wake wa kijamii wa ‘Truth Social’ kuwa yeye na mke wake, Melania Trump, "Tunasikitika kusikia kuhusu kilichobainika hivi karibuni wakati wa uchunguzi wa Joe Biden."

View attachment 3338735
R.I.P old man ufe kifo kibaya sana
 
Back
Top Bottom