Nakuhakikishia kuwa kati ya watu wasiyo ogopa kupigwa BAN hapa jf ni mimi.We bwege biriani la nini msibani?
Ili iweje?Yeyote aliekutana na picha ya Pamoja ya Rais Mama Samia Hassan akiwa na Chief of Defense force Venance aitume
Sijui uzee inakuaje ,mi naweza kupiga story saaana,halafu Badae nshasahau nawauliza waskilizaji hivi tulikua tunaongea nini?Hahahahahhaaah
Njoo hapa kilimani chato utaipataili niipate
Kazi yake haikuhusu
Unanipiga mkwara?Nakuhakikishia kuwa kati ya watu wasiyo ogopa kupigwa BAN hapa jf ni mimi.
Haya mambo ya kuitana mabwege bila ya sababu ujue siyo mazuri kabisa .
Nina weza sana kutukana kuliko hata wewe unavyodhania.
Tuheshimiane.
Basi wewe tuliza mzukaNishatumiwa PM Tuliza kipira
Sina haja ya kukupiga mkwara, mambo ya kutukanana haifai hasa pasipo na sababu ya kufanya hivyo.Unanipiga mkwara?
Kimahesabu hii ni karne tayari aiseeMiaka 96 sio mchezo...ni baraka toka kwa Mungu, ila kimwili bado yuko fiti sana. Hatumii msaada wowote kutembea na wala mgongo hujapinda...Mungu atamjalia anatoboa karne huyu.
Utaelewa tuHayo ni maneno kwenye msimba, subiri msiba uishe kama kuna mtu atamtaja tena
Mwanga gani wakati giza la Kaburi ndio linamgojaMwanga wa Milele umuangazie ee bwana ...
Barakoa ipi inamzuia kirusi??Hiyo ni pamoja na kudharau barakoa?