Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

We bwege biriani la nini msibani?
Nakuhakikishia kuwa kati ya watu wasiyo ogopa kupigwa BAN hapa jf ni mimi.
Haya mambo ya kuitana mabwege bila ya sababu ujue siyo mazuri kabisa .

Nina weza sana kutukana kuliko hata wewe unavyodhania.
Tuheshimiane.
 
Samia,Madame President,ameanza kutema cheche. Hoja ya Chato kuwa mkoa,amewaambia wamalize mchakato,then wapeleke serikalini... Itaangaliwa kama vigezo na hatua muhimu vimekidhi.
 
Katiba aliyoapa itaheshimiwa na kufuatwa na wote
 
IMG-20210319-WA0081.jpg

#"Leo tunaenda kusitiri kiwiliwili chake tu lakini maono na matamanio na falsafa ya Dr John Pombe Magufuli yataishi."# Mh Rais Samia Suluhu Hassan

Hii ni hotuba fupi iliyobeba ujumbe mkubwa sana kwa Taifa la Tanzania,Africa na Dunia kwa ujumla
 
Nakuhakikishia kuwa kati ya watu wasiyo ogopa kupigwa BAN hapa jf ni mimi.
Haya mambo ya kuitana mabwege bila ya sababu ujue siyo mazuri kabisa .

Nina weza sana kutukana kuliko hata wewe unavyodhania.
Tuheshimiane.
Unanipiga mkwara?
 
Miaka 96 sio mchezo...ni baraka toka kwa Mungu, ila kimwili bado yuko fiti sana. Hatumii msaada wowote kutembea na wala mgongo hujapinda...Mungu atamjalia anatoboa karne huyu.
Kimahesabu hii ni karne tayari aisee
 
Back
Top Bottom