Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Mwenye picha ya magufuli akiwa juu ya gari mkono mmoja kashika kidevu mwingine kashika ubavu anipatie Please
 
Nahisi Magufuli kaishi maisha magumu pale Ikulu, wabaya wake wote wenda waliishi nae
Unahisi?

Sisi hatuwezi kujua ni makubwa gani alikuwa akiyapitia ila mtu anamuhukumu tu


Kile kiti cha Urais sio chepesi kukikalia ukawa na amani ya moyo
Ni kirahisi ukijipanga, kigumu ukikurupuka?

. Yaan sometimes analazimika kubeba dhambi za watu wengine
Ndio kazi au cheo alichokigombea

Kila binadamu ana mapungufu yake hivyo basi itoshe kusema that man was a good person.
Kama kila binadamu anamapungufu yake nivyema basi tuka balance hapo kwa kusema alikuwa mzuri na pia alikuwa mbaya vilevile.
Lala salama Magufuli huko uendako hakuna majungu, matusi, lawama ni kusinzia tu.
Amina

Katika maisha ya baadae (kuzaliwa upya) ningependa nije nikuzae uwe kati ya watoto wangu nitakaojaliwa
Hongera
 
Magu alikua msukuma, nahisi pia alipewa u chifu/utemi, usikute anazikwa sambamba/pamoja na watu walio hai, hizo ni mila za kisukuma.
Ivi ni nani anayeweza kukubali kuzikwa akiwa hai kimila
 
Nchi uwezi fananisha na familia,.. familia hazina katiba kama nchi...

Nnchi ina misingi na taratibu zake urais ni taasisi...

Kwanini ushindwe?
 
Tatizo huenda sio huyo Mzee , tatizo huenda ni hao vijana wao , ambao wanaforce wawe popular kama wazee wao ...!! Binafs mi Kikwete namwelewa Sana
 
Mwisho wa maisha yetu sote ni kaburi...
Hapo mkuu ndipo mwisho wa jeuri, kiburi, ujanja na majivuno yote ya kiumbe anaeitwa binadamu..

Kaburini ndipo kuna muda mrefu sana wa kulala mpaka una sahaurika mamia ya miaka yanapita..
 
Mi ndio nawashanga hawa ....urais kama kwako unakua mgumu ujue ufwati misingi na taratibu zilizopo.
 
Unahisi?





Ni kirahisi ukijipanga, kigumu ukikurupuka?


Ndio kazi au cheo alichokigombea


Kama kila binadamu anamapungufu yake nivyema basi tuka balance hapo kwa kusema alikuwa mzuri na pia alikuwa mbaya vilevile.

Amina


Hongera
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Wacha na mimi niweke kambi hapa...Hii itakuwa kumbukumbu kwa vizazi vijavyo kuwa na mimi niliomboleza.

Friday 26,March...18:22

Mungu ampe pumziko la milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…