Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Thanks mkuu.. Bless🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mtu anahoji swala msemaji wa familia kuvaa armani ya Afrika, wakati hata kwenye jersey za YANGA kuna ramani ya Africa[emoji28].Hahahahahhaah
Hakika mkuu. Mungu ni wa Kuogopwa na Hawezi Kufananishwa na ChochoteDuh kumbe twaweza kuwa na mipango yetu, Mungu ana yake
Ameshatubu!!Hatimaye mwamba kulazwa leo milele. Sitakusahau kamwe kwa yote uliyotenda.
Unahisi?Nahisi Magufuli kaishi maisha magumu pale Ikulu, wabaya wake wote wenda waliishi nae
Sisi hatuwezi kujua ni makubwa gani alikuwa akiyapitia ila mtu anamuhukumu tu
Ni kirahisi ukijipanga, kigumu ukikurupuka?Kile kiti cha Urais sio chepesi kukikalia ukawa na amani ya moyo
Ndio kazi au cheo alichokigombea. Yaan sometimes analazimika kubeba dhambi za watu wengine
Kama kila binadamu anamapungufu yake nivyema basi tuka balance hapo kwa kusema alikuwa mzuri na pia alikuwa mbaya vilevile.Kila binadamu ana mapungufu yake hivyo basi itoshe kusema that man was a good person.
AminaLala salama Magufuli huko uendako hakuna majungu, matusi, lawama ni kusinzia tu.
HongeraKatika maisha ya baadae (kuzaliwa upya) ningependa nije nikuzae uwe kati ya watoto wangu nitakaojaliwa
Ivi ni nani anayeweza kukubali kuzikwa akiwa hai kimilaMagu alikua msukuma, nahisi pia alipewa u chifu/utemi, usikute anazikwa sambamba/pamoja na watu walio hai, hizo ni mila za kisukuma.
Nchi uwezi fananisha na familia,.. familia hazina katiba kama nchi...Kuongoza nchi sio jambo rahisi sana.
Nawaza mtu ana mke na watoto wawili ila hawezi kuongoza familiya migogoro kibao, sembuse Magufuli kuongoza hili linchi looote? Lawama zote kwake?
Wewe unaeshindwa kuongoza familiya usimame kumuhukumu Magufuli?
Nahisi Magufuli kaishi maisha magumu pale Ikulu, wabaya wake wote wenda waliishi nae.
Sisi hatuwezi kujua ni makubwa gani alikuwa akiyapitia ila mtu anamuhukumu tu.
Wacheni akahukumiwe mbinguni ila sisi ambao tuko hai tukae kimya. Kile kiti cha Urais sio chepesi kukikalia ukawa na amani ya moyo.
Kinachomponza Magufuli ni the so called " employer's liabbility. Yaan sometimes analazimika kubeba dhambi za watu wengine.
Kila binadamu ana mapungufu yake hivyo basi itoshe kusema that man was a good person.
Ameniuma sana coz nahisi alipitia mengi ambayo yalikuwa nje ya uwezo wake.
Hizi movie tunazoziona zinatosha kujua Rais au mfalme anapitia maisha gani magumu wakati akiwatumikia watu wake.
Lala salama Magufuli huko uendako hakuna majungu, matusi, lawama ni kusinzia tu.
Katika maisha ya baadae (kuzaliwa upya) ningependa nije nikuzae uwe kati ya watoto wangu nitakaojaliwa.
R.I.P J.P.M[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hapo mkuu ndipo mwisho wa jeuri, kiburi, ujanja na majivuno yote ya kiumbe anaeitwa binadamu..Mwisho wa maisha yetu sote ni kaburi...
Mi ndio nawashanga hawa ....urais kama kwako unakua mgumu ujue ufwati misingi na taratibu zilizopo.Haiwezi kuwa kazi kubwa kamwe.
Kutoa uongozi sehemu ambayo una taasis kibao zinakusaidia.
Unasheria na taratibu za kufanya mambo ambazo zinakuwa enforced.
Tenda haki,fuata sheria,kanuni na taratibu. Heshimu mamlaka nyingine kwenye utendaji wao. Ingilia pale tu inabidi na kufuata utaratibu.
Epuka kujiona wewe ndiyo wewe,bila wewe mambo hayaendi.
Wote wanaolalamika uongozi mgumu ama shida wao ndiyo tatizo.
🙏🙏🙏🙏Unahisi?
Ni kirahisi ukijipanga, kigumu ukikurupuka?
Ndio kazi au cheo alichokigombea
Kama kila binadamu anamapungufu yake nivyema basi tuka balance hapo kwa kusema alikuwa mzuri na pia alikuwa mbaya vilevile.
Amina
Hongera
Hapana naaminiUlishawahi kufika huko mkuu?
🙏🙏🙏Umeandika mambo mazuri Ila huko mwishoni umeharibu....
RIP Jemedari wetu JPM
Nasikia mama aliweka pingamiziView attachment 1734959
hapa ni awamu ya nne Kikwete akiwa Rais