Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Nashauri pesa za rambirambi zielekezwe kwenye kukamilisha miradi kama yeye jemedari alivyokuwa anafanya😁😁😁😁😁😁😁
 
John Pombe Joseph Magufuli ulikuwa udongo mzuri uliostawi vyema katika ardhi ya Tanzania. Umetenda mema na mabaya,umeishinda vita vingi hadi kuwa Rais ni bahati mbaya umeondoka tukiwa bado tunakuhitaji ;tutaendelea kuishi nawe katika Mioyo zetu, tutaendelea kuwa nawe kila siku kwa sala na maombi. Upate raha ya Milele, upumzike katika udongo mzuri. Msalimie Benjamin W. Mkapa pamoja na Mwl. Julius K. Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…