Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Mashishi gani tena?
Mtakatifu Jiwe?Mashishi??
sote tu waja wake mola na kwake wote tutalejea pumzika kwa aman jemedari JPM[emoji992]View attachment 1735032
Wewe unaonaje?Wajuvi wa haya mambo. Mnisaidie mimi mwana wakwenu huku chato.
Lile kaburi la muheshimiwa lilikua la aina gani?je! Lilijengwa pembeni likawekewa reli au ni ule mfumo wa kisasa. Botion kwaajili ya kuokoa muda baadae watalisakafia?
Umejibu vyema mwanangu. Kudos.Muulize Niyemugizi alikiwa jirani pale na SGR