Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Mtakatifu FAKE Mkuu
1616789120611.jpeg

Mtakatifu Jiwe?
 
Mimi mwenyewe nilishangaa jinsi tyles yenye vigae vizito vilivyounganishwa na sementi vinavyowezwa kupachikwa Kama Lego zile za kupanga au jigsaw games za vidudu au kindegaten.
 
Wajuvi wa haya mambo. Mnisaidie mimi mwana wakwenu huku chato.
Lile kaburi la muheshimiwa lilikua la aina gani?je! Lilijengwa pembeni likawekewa reli au ni ule mfumo wa kisasa. Botion kwaajili ya kuokoa muda baadae watalisakafia?
Wewe unaonaje?
 
Back
Top Bottom