Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

HAIWEZEKANI. Mlawiti anashindaje kesi? Ushahidi umechezewa bila shaka.
 
Bongo raha Sana, hili lilikuwa wazi kabisa,
Sasa tuna subili wale ma afande walionyonga mfanyabiashara wa madini mtwara, waachiwe huru, na wale vibaka wa TISS, watekaji
 
Tusikoment Kwa kuangalia upepo wa Sasa , huyu jamaa alikuwa anawazingua ccmu wenzie , hao ndo wakimtupia Hilo zengwe ili atolew cheo , ilikuwa haez kufungwa sababu lengo lao ni kumpora cheo tu , maana alikuwa anawazingua kweny ujenzi wao wa hovyo
Ondoa takataka zako hapa..yeye ndie mwanaccm pekee kuwazingua wenzake? mbona wengi tu wako kinyume na ccm tena hadharani, Mpina kwa mfano..kwa nini wewe unaangalia thamani ya cheo badala ya kitendo alichofanya, kiongozi huwezi shawishika kulawiti! toa hizo takataka za ujinga unaousema!
 
Basi hamia dini ya ex RC tuone kama na wewe utapata cheo vipi pia kipindi Cha JPM dini yako haikuusaidia kulamba teuzi?
..kwa hiyo kila anayesema kuchukizwa na ulawiti aliofanya nawanda anatamani cheo, akili yako ndogo si kosa lako, nawanda alishatolewa uDC, unamrudishaje mtu aliyeshindwa kazi ndogo ya uDC ikilinganishwa na elimu yake..? na yeye pia, kwani ni lazima awe DC au RC si afanye kazi nyingine?
 
Nchi hii ina mahakama zakikwuma sana
 
Anamwachia Mungu yule binti au nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…