Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Ni mmakonde mwenzake Sa100 japo huw anaficha umakonde wake.Atakuwa mwenyeji wa maeneo gani huyo Alhaj Nawanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mmakonde mwenzake Sa100 japo huw anaficha umakonde wake.Atakuwa mwenyeji wa maeneo gani huyo Alhaj Nawanda?
Mfumo una support mambo hayoHAIWEZEKANI. Mlawiti anashindaje kesi? Ushahidi umechezewa bila shaka.
Bongo raha Sana, hili lilikuwa wazi kabisa,Wakuu,
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.
Akizungumza na Wanahabari baada ya hukumu hiyo, Nawanda amesema "Namuachia Mungu." kisha akaondoka eneo la Mahakamani.
Awali, kabla ya ushahidi wa upande wa mshtakiwa kuanza kutolewa, Julai 16, 2024 mbele ya Hakimu Marley, mashahidi wawili wa Jamhuri ambao ni Mwanafunzi anayedaiwa kulawitiwa pamoja na mama mzazi wa mwanafunzi huyo walifungua ukurasa wa kutoa ushahidi ambapo waliutoa kwa siri (faragha).
Pia, Soma: Hukumu ya aliyekuwa RC Simiyu, anayetuhumiwa kulawiti kutolewa leo Novemba 29
Ondoa takataka zako hapa..yeye ndie mwanaccm pekee kuwazingua wenzake? mbona wengi tu wako kinyume na ccm tena hadharani, Mpina kwa mfano..kwa nini wewe unaangalia thamani ya cheo badala ya kitendo alichofanya, kiongozi huwezi shawishika kulawiti! toa hizo takataka za ujinga unaousema!Tusikoment Kwa kuangalia upepo wa Sasa , huyu jamaa alikuwa anawazingua ccmu wenzie , hao ndo wakimtupia Hilo zengwe ili atolew cheo , ilikuwa haez kufungwa sababu lengo lao ni kumpora cheo tu , maana alikuwa anawazingua kweny ujenzi wao wa hovyo
Moja ya kauli mujarab kabisachochote bila chochote hupati chochote

..kwa hiyo kila anayesema kuchukizwa na ulawiti aliofanya nawanda anatamani cheo, akili yako ndogo si kosa lako, nawanda alishatolewa uDC, unamrudishaje mtu aliyeshindwa kazi ndogo ya uDC ikilinganishwa na elimu yake..? na yeye pia, kwani ni lazima awe DC au RC si afanye kazi nyingine?Basi hamia dini ya ex RC tuone kama na wewe utapata cheo vipi pia kipindi Cha JPM dini yako haikuusaidia kulamba teuzi?
..kupata cheo? cha nini.. you must be foolish thinking that way!Sasa kama dini yako imekusadia kushape tabia haijakupa chochote imekuaje yeye apate cheo wewe harafu wewe usipate
Mtu una PhD unaenda kuzurura na demu sehemu zenye CCTV cameras! PhD ya ujinga! Nenda mafichoni huko!Naona watu wamelia sana mahakamani sijajua ni upande wa mlalamikaji au mtuhumiwa. Aliekuwepo atuelezew ni kina nani wale? Maana kuna dingi alishindwa kujizuia kabisaaa
Wakuu,
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.
Akizungumza na Wanahabari baada ya hukumu hiyo, Nawanda amesema "Namuachia Mungu." kisha akaondoka eneo la Mahakamani.
Awali, kabla ya ushahidi wa upande wa mshtakiwa kuanza kutolewa, Julai 16, 2024 mbele ya Hakimu Marley, mashahidi wawili wa Jamhuri ambao ni Mwanafunzi anayedaiwa kulawitiwa pamoja na mama mzazi wa mwanafunzi huyo walifungua ukurasa wa kutoa ushahidi ambapo waliutoa kwa siri (faragha).
Pia, Soma: Hukumu ya aliyekuwa RC Simiyu, anayetuhumiwa kulawiti kutolewa leo Novemba 29
Anamwachia Mungu yule binti au nini?Wakuu,

Nimeishia pale she do live. .huko mbele mtanisaidia maana nimeona doctor found bruised anus ya huyo dada but was not connected to anyoneWanaojua kiingereza karibu