Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

Wewe ilitegemea kada wa CCM afungwe!itakuwa ni ajabu kwa kijani kufungwa hao wanajuana kwa vilemba.Ingekuwa wewe ungeona cha mtema kuni.
 
Mungu kasingiziwa tena.
 
Mahaka
Mahakama za bongo na hukumu za vimemo
 
Sababu zinazotolewa kutokuwepo private prosecution hazina mashiko kabisa, nchi ina zaidi ya miaka 60 lkn ina muundo wa haki wa miaka ya 80...na serikali ina interest nyingi sana kutaka kuwepo na public prosecution tu! mojawapo ni kesi za aina hii kwa viongozi ambao wakihukumiwa kifungo, serikali inapoteza trust kwa wananchi, na hivyo kupelekea kupoteza madaraka!
 
Huyo mtoto hakuingiliwa nyuma Ila aliingiwa na tamaa za kutaka kutumia uchi wake ili kujipatia faida .

Nikisikiliza interview yake huyo mtoto nikagundua kuna uongo mwingi


Nb viongozi hacheni tabia ya kutembea na mademu wa mtaani (Malaya) .
 
Hii siyo habari. Ilijulikana tangu mwanzo kwamba angeshinda
Baba yake alikuwa Mwenyekiti wa CHAMA CHA MANGUWE (CCM)
Yeye mwenyewe TISS
Nani wa kumfunga? Arudishiwe U RC wake maisha yaendelee.
Kama sabaya alishinda na kufutiwa case zote nani atafungwa kama siyo masikini na hope have wa mbagala, kero machungwa, manzese kwa mfunga mbwa, kwa bi nyau na kwa tumbo????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…