much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Watulie kwenye ndoa zaoKwamba viongozi waache kutembea na mademu wa mtaani!! Watembee na mademu wa wapi sasa? Mbinguni? Au baharini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watulie kwenye ndoa zaoKwamba viongozi waache kutembea na mademu wa mtaani!! Watembee na mademu wa wapi sasa? Mbinguni? Au baharini?
Alipakuwa mkuu ila ni kwamba tu imeonekana binti alitoa kwa hiyari yake sio kwamba alibakwaKwa hiyo tuseme Mhe. Hajapakua kinyesi?
Huyo anaye lia ni nani?Wakuu,
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.
Akizungumza na Wanahabari baada ya hukumu hiyo, Nawanda amesema "Namuachia Mungu." kisha akaondoka eneo la Mahakamani.
Awali, kabla ya ushahidi wa upande wa mshtakiwa kuanza kutolewa, Julai 16, 2024 mbele ya Hakimu Marley, mashahidi wawili wa Jamhuri ambao ni Mwanafunzi anayedaiwa kulawitiwa pamoja na mama mzazi wa mwanafunzi huyo walifungua ukurasa wa kutoa ushahidi ambapo waliutoa kwa siri (faragha).
Pia, Soma: Hukumu ya aliyekuwa RC Simiyu, anayetuhumiwa kulawiti kutolewa leo Novemba 29
Jamii inajua alifanya, sasa hizi mahakama zetu nani anaziamini when it comes to kesi za wakubwa? Ujumbe umefika vizuri, awe amehonga au amri toka juu wtajua yeye, ila imejulikana alitenda hilo kosaWakuu,
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.
Akizungumza na Wanahabari baada ya hukumu hiyo, Nawanda amesema "Namuachia Mungu." kisha akaondoka eneo la Mahakamani.
Awali, kabla ya ushahidi wa upande wa mshtakiwa kuanza kutolewa, Julai 16, 2024 mbele ya Hakimu Marley, mashahidi wawili wa Jamhuri ambao ni Mwanafunzi anayedaiwa kulawitiwa pamoja na mama mzazi wa mwanafunzi huyo walifungua ukurasa wa kutoa ushahidi ambapo waliutoa kwa siri (faragha).
Pia, Soma: Hukumu ya aliyekuwa RC Simiyu, anayetuhumiwa kulawiti kutolewa leo Novemba 29
Na pande zote mbili!Mungu kasingiziwa tena.
Nimeshangaa mno. Au ni baba wa mtoto labda. hakika Tz ni kubwaHuyo baba anayelia ndio nani kwake? Mhusika anacheka wengine wanalia!
Ameshinda kwamba hakulawiti au MAWAKILI WA SERIKALI kama kawaida yao wameshindwa kutoa vielelezo?Wakuu,
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.
Akizungumza na Wanahabari baada ya hukumu hiyo, Nawanda amesema "Namuachia Mungu." kisha akaondoka eneo la Mahakamani.
Awali, kabla ya ushahidi wa upande wa mshtakiwa kuanza kutolewa, Julai 16, 2024 mbele ya Hakimu Marley, mashahidi wawili wa Jamhuri ambao ni Mwanafunzi anayedaiwa kulawitiwa pamoja na mama mzazi wa mwanafunzi huyo walifungua ukurasa wa kutoa ushahidi ambapo waliutoa kwa siri (faragha).
Pia, Soma: Hukumu ya aliyekuwa RC Simiyu, anayetuhumiwa kulawiti kutolewa leo Novemba 29
Wakuu,

Kwakweli inabidi tupate ufafanuzi.Nimeshangaa mno. Au ni baba wa mtoto labda. hakika Tz ni kubwa
Kwa kweli labda mahakama ya Mungu au mahakama za jadi ndio unaweza kumshinda kiongozi/mwenye pesa hapa Tz.Ukiwaona Ditopile wa mzuzuri alimfumua dereva ubongo njia panda ya kawe Lugalo na akashinda kesi sembuse RC aliyekula mbususu?
Mwenye D mbili tu ndio alijua atafungwa.😅 nani asiyejua atashinda
Ni boya mmoja alikuta canteen ya hapo mahakamani imemaliza chapatiHuyo anaye lia ni nani?
Umesema kweliHiyo ni mahakama ya Ccm kuna mahakama ya uraiani na mbinguni,haaminiki tena