Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

Huyo anaye lia ni nani?
 
Ni breaking news.Nilipoona wakili wake ni Constantine Mutalemwa, nikasema baaassi, kazi imekwisha.

Constantine Mutalemwa ni moja ya mawakili nguli wenye akili zilizojaa kibaba. Na pia nilipoona kukosekana kwa muunganiko wa matukio, nikajua tayari kuna reasonable doubt ambazo zikipata ma " Master " wa mchezo, wanaojua kutoboa toboa ushahidi, kazi inaisha asubuhi kabla ya umande kukauka. Yaani katika kesi, kinachobaki sahihi ni jina la jamhuri, la mshitakiwa, na namba ya kesi na muhuri. Vingine vyote vinakuwa vimeuwawa kikatili na cross examination
 
Kwanza binti alikuwa ova 18 yrs nahakika nawanda alifukunyua ila walikubaliana, pia n ngum bnt ktk chn kbs akafungua kesi ka h had dc kupgwa chn nahakik kunawat walimtegeshea t dc il kumpoteza na hao wat wananguv pia. Ila naamn h kes imetmik busara kuifanyia maamz na c vfungu vy shelia. kunasentens 1 nliipata kweny kitabu (simba wa tsavo) muwinda kawindwa.. ccm hawapendan wao kwa wao
 
Jamii inajua alifanya, sasa hizi mahakama zetu nani anaziamini when it comes to kesi za wakubwa? Ujumbe umefika vizuri, awe amehonga au amri toka juu wtajua yeye, ila imejulikana alitenda hilo kosa
 
Ameshinda kwamba hakulawiti au MAWAKILI WA SERIKALI kama kawaida yao wameshindwa kutoa vielelezo?
 

Tamaa ni mbaya sana, naamini Hakulawiti ila tabia za kupenda Chupi ndo zimemfikisha hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…