Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

Nilisema hakuna Hakmu wa kutoa haki kwenye kesi kama hiyo. Huyu Hakimu anawinda kuwa Jaji, leo apigiwe simu akatae?
Kama hawakuridhika na hiyo hukumu ya hakimu mkazi, wakate rufaa mahakama kuu. Hata huko mahakama kuu wasiporidhika na hukumu ya jaji wakate rufaa hadi Mahakama ya Rufaa itakayo amuriwa na majaji watatu.

Ila wakumbuke mahakamani huwa hakuna haki bali kuna sheria tu. Huyo binti kama alikuwa akifanya naye hilo tendo kwa njia ya kawaida ila siku hiyo ikatelezea pasipo kwa kawaida kwa makusudi au kwa bahati mbaya, hakuna kosa hapo. Isitoshe ni ngumu kuwa na ushahidi wa tukio hilo. Mahakama zote zinategemea ushahidi wa nguvu katika maamuzi yake na siyo hearsay. Hata kama kutakuwa na video clip ya tukio hilo itasemwa tukio lilipangwa. Kama ni semen zitaonekana njia zote kwani maeneo hayo ni jirani sana.
 
Baadhi ya wanajf bhana! Hapo basi unajikuta Richard Dawkins sijui. Kibri ni kitu hatari sana kwa viumbe.
Kwa nini Munyazimungu aliumba viumbe wenye kibri, halafu tena anawatishia kuwachoma moto kwa kuwa na kibri alichowaumbia mwenyewe?
 
Ndio michezo ya miccm
 
Wewe ndo mjinga basi na wewe dini yako imekuridishia Nini baada ya kuunderperform? Kama aliweza kurudishwa Kwa udini kwanini hakutolewa Kwa udini?
dini yangu inanisaidia kushape tabia si kupata cheo..waliomrudisha kwa merits za dini wasingemtoa isipokuwa kwa hilo lililomkuta la kujiharibia mwenyewe.
 
Dr Dorothy Gwajima, njoo Jf Kuna ujumbe wako
 
Awamu ya sita, wanawake wanajuta!
Kila Kona ni uonevu
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahya Nawanda aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kulawiti.

Katika uamuzi wake kwenye kesi hiyo ya jinai namba 1883/2024 uliosomwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi Erick Marley, Mahakama hiyo baada ya kupitia maelezo ya ushahidi na vielelezo imejiridhisha kuwa hakukuwa na muunganiko wa ushahidi unaoweza kumtia Dkt. Nawanda hatiani na hivyo imetangaza kumuachia huru kuanzia sasa. #MillardAyoUPDATES
 
Namba ya kesi yake ilikuwa ni namba ya bahati ambayo kwake ushindi ilikuwa siyo bahati mbaya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…