Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahya Nawanda aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kulawiti.

Katika uamuzi wake kwenye kesi hiyo ya jinai namba 1883/2024 uliosomwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi Erick Marley, Mahakama hiyo baada ya kupitia maelezo ya ushahidi na vielelezo imejiridhisha kuwa hakukuwa na muunganiko wa ushahidi unaoweza kumtia Dkt. Nawanda hatiani na hivyo imetangaza kumuachia huru kuanzia sasa.

#MillardAyoUPDATES
 
Wakuu,

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.

Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.

Akizungumza na Wanahabari baada ya hukumu hiyo, Nawanda amesema "Namuachia Mungu." kisha akaondoka eneo la Mahakamani.

Awali, kabla ya ushahidi wa upande wa mshtakiwa kuanza kutolewa, Julai 16, 2024 mbele ya Hakimu Marley, mashahidi wawili wa Jamhuri ambao ni Mwanafunzi anayedaiwa kulawitiwa pamoja na mama mzazi wa mwanafunzi huyo walifungua ukurasa wa kutoa ushahidi ambapo waliutoa kwa siri (faragha).

Pia, Soma: Hukumu ya aliyekuwa RC Simiyu, anayetuhumiwa kulawiti kutolewa leo Novemba 29
ARUDI SASA KUIBA KURA ZA UCHAGUZI
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda, aliyeshtakiwa kwa kosa la kumuingilia kinyume na maumbile binti aliyetambulika kwa jina la TMN eneo la Rocky Ciity Jijiini Mwanza Juni 02, 2024.

Hukumu hiyo imetolewa leo Novemba 29, 2024 na Hakimu Mkazi Mfawidhi Erick Maley katika Kituo Jumuishi cha utoaji haki Mwanza ,kesi ya jinai namba 1885 ya mwaka 2024.

Hakimu Maley baada ya kupitia ushahidi upande wa mashtaka ameshindwa kuthibitisha ushahidi na hivyo Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza kumuachia huru Dkt. Yahaya Nawanda.
 
HII KESII TANGU AIJAANZA NILIWAMBIAA MNAENDA KUWAIBIKA WAPO MAPUNGUANI HUKU WAKASEMA NATUMIWA WOI NALIPWAA NYODOO ZENUUU MMEAIBIKAAA BILA CHENGAAA SHAME N U ALL
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda, aliyeshtakiwa kwa kosa la kumuingilia kinyume na maumbile binti aliyetambulika kwa jina la TMN eneo la Rocky Ciity Jijiini Mwanza Juni 02, 2024.

Hukumu hiyo imetolewa leo Novemba 29, 2024 na Hakimu Mkazi Mfawidhi Erick Maley katika Kituo Jumuishi cha utoaji haki Mwanza ,kesi ya jinai namba 1885 ya mwaka 2024.

Hakimu Maley baada ya kupitia ushahidi upande wa mashtaka ameshindwa kuthibitisha ushahidi na hivyo Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza kumuachia huru Dkt. Yahaya Nawanda.
Cha kufaham ni kuwa siyo kila aliyeachiliwa na mahakama hakutenda kosa husika bali inawezekana ushahidi wa kumtia hatiani umekosekana.Kuachiwa na mahakama hakufuti ukweli wa kosa lililofanyika kama limefanyika bali linatoa njia ya makosa kama hayo kuendelea kufanyika na kutohukumiwa.Inawezekana kabisa mkuu wa mkoa alitengenezewa jungu ila watengeneza majungu hutafuta udhaifu wako kukupigia.Ukishakuwa kiongozi lazima ukubali kujitoa sadaka na kutodhurura ovyo ovyo na wanawake.
 
Kata rufaaaaa niko kwa wakala ukishindaaa
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahya Nawanda aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kulawiti.

Katika uamuzi wake kwenye kesi hiyo ya jinai namba 1883/2024 uliosomwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi Erick Marley, Mahakama hiyo baada ya kupitia maelezo ya ushahidi na vielelezo imejiridhisha kuwa hakukuwa na muunganiko wa ushahidi unaoweza kumtia Dkt. Nawanda hatiani na hivyo imetangaza kumuachia huru kuanzia sasa.

#MillardAyoUPDATES
Kesi za kipumba-vu..hizi..naamini.Shenzi type ...Mwanazuoni eti wa Chuo Kikuu- SAUT kulalamika umeliwa Tigo na kuja kutia huruma mitandaoni.
 
Punguza hasira kaka! We ulimjua huyo nawanda baada ya kumla kisamvu huyo binti......jaribu kufuatilia profile yake
Usimkuze huyo dogo hana lolote lile huyo akitembelea nyota tu ya mama yake mpuuzi yule tuliemzika kitangari....ashukuru alikufa mapema mpuuzi yule nilitamani sana angekuwepo hai ili aone mwanae alivyodhalilika kwa ulawiti
 
Cha kufaham ni kuwa siyo kila aliyeachiliwa na mahakama hakutenda kosa husika bali inawezekana ushahidi wa kumtia hatiani umekosekana.Kuachiwa na mahakama hakufuti ukweli wa kosa lililofanyika kama limefanyika bali linatoa njia ya makosa kama hayo kuendelea kufanyika na kutohukumiwa.Inawezekana kabisa mkuu wa mkoa alitengenezewa jungu ila watengeneza majungu hutafuta udhaifu wako kukupigia.Ukishakuwa kiongozi lazima ukubali kujitoa sadaka na kutodhurura ovyo ovyo na wanawake.
Acha ushamba na wivu..mshahara , posho,V8 nisile bata , nijifichefiche?!Why and what ..?a shit..?!Noooooooo.Nabaki binadamu na privacy zangu bwana
 
dini yangu inanisaidia kushape tabia si kupata cheo..waliomrudisha kwa merits za dini wasingemtoa isipokuwa kwa hilo lililomkuta la kujiharibia mwenyewe.
Sasa kama dini yako imekusadia kushape tabia haijakupa chochote imekuaje yeye apate cheo wewe harafu wewe usipate
 
dini yangu inanisaidia kushape tabia si kupata cheo..waliomrudisha kwa merits za dini wasingemtoa isipokuwa kwa hilo lililomkuta la kujiharibia mwenyewe.
Basi hamia dini ya ex RC tuone kama na wewe utapata cheo vipi pia kipindi Cha JPM dini yako haikuusaidia kulamba teuzi?
 
Back
Top Bottom