nilipitia mwenendo mzima wa kesi ya RC wa simiyu Dkt Yahaya hatua kwa hatua, kuanzia kwa Judge, waendesha mashtaka, na ushahidi wa pande zote mbili.
Yahaya ameshinda kihalali. Kihalali kwa sababu mahakama hua inaangalia ushahidi usio tia shaka ndio inatoa hukumu kwa kuangalia ushahidi, ambao haukuepo.Ushahidi 80% uliokuepo ulikua unatia shaka, hivo well done to the Judge.
But, just simple, RC maybe is true alikua interested na binti. (ye ni mwanaume,hivo ni kawaida kufall inlove unexpected)
nilivoona kesi
1.binti inaonesha ni mtu wa kustarehe hovyo, na haikua mala ya kwanza kufanya hiyo michezo. Ni vile kuna mtu alimueleza kuhusu mahusiano yake na RC (ya muda mchache) na huyo mtu akatumia kama fursa ya kisiasa au kiuchumi.
2.RC, tena mgeni kwako, mmemeet mala moja tu, akuingize kwenye gari, akulaximishe kusex, tena kinyume na maumbile, tena ndani ya gari, packing?, hajakutongoza, amekwambia tu nataka unipe kinyume na maumbile, tena hamjazoeanaa??? does it even make sense?[emoji53]
as a lady, hakuna mwanaume anaweza kuzungumza na mwanamke kuhusu sex then aongelee eti akufanye kinyume na maumbile, unless wewe ni kahaba unajiuza, hivo amekutamani akufanyie hivo sababu wewe ni mfanya biashara na yeye ni mteja, na mteja huchagua kile anachokitamani kwa muda ule.
Na wewe kaka angu Yahaya, uache kutamani ovyo watoto, mkeo mbona mzuri tu na anakupenda, hadi tunahisi labda kweli uliomba huko nyuma kwa binti cas mamaa anakunyima. Ni tabia mbaya uache kutamani huo ushetani[emoji34]