Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, agoma kukabidhi Ofisi kwa Sheikh Walid

Nilisoma andiko la Chahali na moja ya mambo aliyotabiri ni huyu shehe aliyetumbuliwa kwamba lazima ataanzisha mapambano, kumbe kweli bwanaaa..
 
Sawa, ila kila mtu amtumainie Mungu wa Kweli, hizi dini na viongozi wapo kwenye ulaji tu. Sijaona bado kiongozi wa dini ambaye kweli ni mtu wa Mungu, kama yupo ni nadra sana wengi ni wachumia tumbo.
 
Labda kuagwa ni kama angehamishwa mkoa, anyway, ya ngoswee.......
 
Tatizo lake ameifanya Dini kama siasa
Anaona mlo utapungua
Hakuwahi kutumikia Dini kama Dini bali anaona ni sehemu ya kujazia tumbo Astaghfirullah

Wengi wao waamini Shirk zaidi pia
Nae yumo nasikia
Awaroge sasa tuone
 
Yetu macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…