kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 914
ASIKWAMBIE MTU HII NCHI NI TAMU SANA.NDIO MAANA MIMI NIKIONA KIONGOZI ANATAMBA HUWA NAMCHEKA KWA DHARAU TU!! MUOSHA HUOSHWA NA BADO WEWE MWENYEWE SIKU ZAKO ZINAKUJA...........Daaahh yani siku hizi utamu wa kuwa kiongozi serikalini ni kama unakuja afu unakataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi.muumini wa haki za binadamu na Uhuru wa kuabudu chochote kuwa mtu Yuko huru kuabudu chochote hata mavi au mikojo yake kwa mujibu wa katiba ya nchi.Lugora alikuwa akionea mno walokole mjinga mkubwa.Alikuwa anatukana walokole ohhh hiki munachoamini sio yeye Mungu? Maruhuni mkubwa yeye Nani wa kumpangia mtu aamini Nini?
True. Akubali tu matokeo vinginevyo stress zitamuua kwa pressure. Haya mambo yapo yanatokea kwa watu wengi.anachokipitia mkata mauno kwa sasa ajuae ni yeye tu na mungu wake
Wewe nafahamu vizuri sana majukumu ya hizo idara, tofauti zao na ushirikiano wao, swali langu nimeuliza ipi ni Bora si kwa kukurupuka kama wewe unayenijia na majibu ya kichwakichwa, misingi ya swali langu nadhani hujui na si lazima kujibu kila swali utaja umbuka bure,Najua umenielewa shida yako utafuniwe na ulishwe... pambana arifu
Mimi tayari niko shambani nachimba mihogo ya Kange na ndugu zake hayanihusu.Wacha waisome namba weeeee waisome namba sisiemu mbele kwa mbele
Jamani tusiwaingilie, ndugu wakigombana shika jembe ukalime
Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu kama nabii vile.lisu alikuwa sahihi wakimaliza wapinzani ?
Wanatafutia kiki kwa kange.Wacha waisome namba weeeee waisome namba sisiemu mbele kwa mbele
Jamani tusiwaingilie, ndugu wakigombana shika jembe ukalime
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli jembe si jembe?......jembeee!!!!!
Hakuna shida kufanya kazi katika mazingira yoyote. Cha kwanza kabla haujaikubali hiyo kazi ujuwe miiko ya kazi. Ya pili umsome mkuu wako wa ka kazi (supervisor) na kuweza kujuwa kama utatetereka je atakuhifadhi?Ni shida kufanya kazi katika mazingira haya, you got a post, you accept it then unadhalilika muda mfupi, nadhan ni bora mtu kukataa na mapema kufanya kazi kwa mazingira kama haya ni vigumu sana.
Kila ukitaka kufanya jambo unajihisi huna power yeyote lazima upate full go ahead kutoka kwa mkuu.
Hapo lazima alipapasa matak yenye gundu, huu ukatani wa mauno bila utaratibu ndio madhara yakeKesi inafanyika dar au Dom .au karogwa jamani maana huu mkosi sijawahi uona dah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayofanya bwana mkubwa huu ndio mfano wake.Kwa sababu alizozitaja naye anapaswa kujiuzulu maramoja. Miradi mingi Bunge halijui. Yeye yuko juu ya sheria na katiba?
Pia awamu hii kiongozi hawezi kusafiri bila ruksa ya ikulu, ruhusa yao ilikuwa granted kwa sababu gani? Naskia pia ili mkataba usainiwe lazima pia baraza la mawaziri liidhinisheMwanasheria mkuu alikuwa msibani ila vijana wake walihusika wakasaini kwa niaba.....nao wanachunguzwa!