Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

"Jibu lenu liwe Ndiyo na Siyo mengine yatoka kwa yule mwovu."
Mimi.muumini wa haki za binadamu na Uhuru wa kuabudu chochote kuwa mtu Yuko huru kuabudu chochote hata mavi au mikojo yake kwa mujibu wa katiba ya nchi.Lugora alikuwa akionea mno walokole mjinga mkubwa.Alikuwa anatukana walokole ohhh hiki munachoamini sio yeye Mungu? Maruhuni mkubwa yeye Nani wa kumpangia mtu aamini Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna sababu ya kumhoji waziri? Ina maana nchi yetu ipo lege lege kiasi Cha kutojua kikamilifu alichofanya au anachofanya au atakachofanya waziri? au hata any senior GoT official?

Waziri na afisa mwandamizi yeyote wa serikali mwenye dhamana wanatakiwa kufikishwa Mahakamani au kuwekwa ndani moja kwa moja. TAKUKURU watachunguza nini kwa ofisa yeyote mwenye security details?


Executive iache kutumia for Fedha za walipa kodi kufanya investigation za kisanaa.
 
anachokipitia mkata mauno kwa sasa ajuae ni yeye tu na mungu wake
 
Hata mkulu naye ni mzembe ila hana mtu wa kumtumbua. Sasa wewe unaongoza nchi hata good informers huna. Hadi mkataba umesahiniwa wewe ujui unakuja kushtuka mwishoni kweli?

Au intelligencia ipo kwa ajili ya kufuatilia upinzani. Kama ndiyo hivi mangapi sasa yamepita bila yeye kujua. Uzembe huu aukubariki hata kidogo!
 
Nahisi hadi hapo mumeanza kumuelewa Magufuli, yeye ni mzalendo mwenye uchungu na nchi yake, hata kama wewe rafiki yake ukipita wrong side lazima alale nawe mbele.
 
Najua umenielewa shida yako utafuniwe na ulishwe... pambana arifu
Wewe nafahamu vizuri sana majukumu ya hizo idara, tofauti zao na ushirikiano wao, swali langu nimeuliza ipi ni Bora si kwa kukurupuka kama wewe unayenijia na majibu ya kichwakichwa, misingi ya swali langu nadhani hujui na si lazima kujibu kila swali utaja umbuka bure,
 
Magufuli jembe si jembe?......jembeee!!!!!

Ye mwenyewe aliwachagua mkamsifia anawafukuza mnasifia wazee which is which ? mbona hii nchi watu wa siasa wanafki sana? kinachorudisha nyuma tanzania ni chadema na ccm, ndio mana sipend kabisa politics aisee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni shida kufanya kazi katika mazingira haya, you got a post, you accept it then unadhalilika muda mfupi, nadhan ni bora mtu kukataa na mapema kufanya kazi kwa mazingira kama haya ni vigumu sana.

Kila ukitaka kufanya jambo unajihisi huna power yeyote lazima upate full go ahead kutoka kwa mkuu.
Hakuna shida kufanya kazi katika mazingira yoyote. Cha kwanza kabla haujaikubali hiyo kazi ujuwe miiko ya kazi. Ya pili umsome mkuu wako wa ka kazi (supervisor) na kuweza kujuwa kama utatetereka je atakuhifadhi?

Kama hawezi usiikubali hiyo kazi. Mtu kama Lugola ni polisi wa siku nyingi na najuwa sheria zote za jinai na anakubali kushirika katika mikataba ambayo hata mwanafunzi wa darasa la saba anajuwa ina dosari.

KWELI Lugola hamjui JPM. Anamjuwa vizuri saana siyo tu kama raisi bali pia kama mwanafunzi wake. Mwalimu wake alipma "benefit of doubt" yeye akaichezea.

Pia Lugola asingecheza na Musiba. Musiba yeye kabla hajaropoka huwa anapata taarifa nyeti za wale anaowaropokea. He is on a mission. Ndiyo maana hakuna anayeweza kumgusa kwa sababu yote asemayo ni ya kweli. Musiba kazi yake ni "Preemptive Striker"
 
Mwanasheria mkuu alikuwa msibani ila vijana wake walihusika wakasaini kwa niaba.....nao wanachunguzwa!
Pia awamu hii kiongozi hawezi kusafiri bila ruksa ya ikulu, ruhusa yao ilikuwa granted kwa sababu gani? Naskia pia ili mkataba usainiwe lazima pia baraza la mawaziri liidhinishe
 
Back
Top Bottom