Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Hivi kwa nini wasiwaweke ndani kama akina Rugemalira halafu uchunguzi uendelee....!!
 
Mutatukana weee na kukashifu, lkn Lugola anaandaliwa kuwa Rais, mtaona!

Baadaye atasafishwa na kutamka kuwa hana hatia alionewa! usiwaamini wana Siasa hata siku moja!
 
kinusikwetu, Tiss=collect,analyse,disseminate and ungemalizia kila kitu, okey je hawakuwa au walikuwa wanajua kinachoendelea kabla ya kangi kumaliza mchezo??, nahisi walikuwa hawajui au ni udhaifu flani ndani ya taasisi kushindwa kumbana kabla .
Tupambane na hali zetu tulipe kodi
 
hawatamfanya kitu,
wanataka kuwazuga watanzania kwmb serkal ipo,
kumbe uhuni mtupu tu.
mtaona,
siku hazigandi.
ila watanzania mambo ya kuuuwa upinzan ili magufuli asije kuulizwa siku akitoka madarakan kwa ufisadi na matumiz mabovu ya madaraka,
nawadharau sana.
sina Hamu na hii nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, nimepata taarifa hivi punde kuwa Aliekua Waziri wa mambo ya ndani Ndg Kangi Lugola amekamatwa na Jeshi la Polisi. Je habari hizi ni za kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hapa Jiwe asipojifunza kuwa na yeye tutamkamata tumpeleke ICC baada ya kumaliza mda wake mwezi October basi atakuwa hasikilizi ushauri wa mtu. πŸ˜†πŸ˜†

Kangi juzi tu ndio alikua 'faza hausi' leo anafanyiwa kama Omar Al Bashir. Maisha haya jamani watu wajifunze kuwa hakuna atakaedumu kwenye madaraka milele.

Sinema liendelee, zetu popcorn 🍿.
 
Akamwatwe tu, anapigaje hayo ma commission sijui ma 10% peke yake. Kwani wenziwe hawana midomo ya kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…