Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kangi wa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Mkaldayo unachanganya ma file kwa makusudi.Huko sahihi kabisa Alexander The Great
ndioWakuu, nimepata taarifa hivi punde kuwa Aliekua Waziri wa mambo ya ndani Ndg Kangi Lugola amekamatwa na Jeshi la Polisi. Je habari hizi ni za kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
.Wakuu, nimepata taarifa hivi punde kuwa Aliekua Waziri wa mambo ya ndani Ndg Kangi Lugola amekamatwa na Jeshi la Polisi. Je habari hizi ni za kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Takukuru wa anza kazi ya kumchunguza kangi lugola kutokana na manunuzi ya vifaa vya jeshi la zima moto kutiliwa mashaka kuwa na ubadhifu wa pesa za serikali.
Hatua hiyo imekuja baada ya kauli ya raisi JPM kuikabidhi kesi hiyo katika tasisi ya kupambana na rushwa siku ya makabiziano ya nyumba za mageleza.
CHANZO: Cloudsfm
. Kangi Lugola awekwa kizuizini na Takukuru/ Tunaitekeleza amri ya raisi JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
Takukuru wa anza kazi ya kumchunguza kangi lugola kutokana na manunuzi ya vifaa vya jeshi la zima moto kutiliwa mashaka kuwa na ubadhifu wa pesa za serikali.
Hatua hiyo imekuja baada ya kauli ya raisi JPM kuikabidhi kesi hiyo katika tasisi ya kupambana na rushwa siku ya makabiziano ya nyumba za mageleza.
CHANZO: Cloudsfm
. Kangi Lugola awekwa kizuizini na Takukuru/ Tunaitekeleza amri ya raisi JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii stori ni kweli au umetunga?Yanayofanywa na Ccm miaka hii inakumbusha marehemu raisi samora machel Wa msumbiji aliwa kuja Tanzania kwenye sherehe za Ccm ambazo Ccm walikuwa wanapenda kuaandàa magwaride na michezo ya halaiki ya kisekta za ulinzi utamaduni kilimo viwanda na michezo ile ilikuwa inachezwa na wanafunzi waliopewa jina la chipukizi Wa Ccm na hao ndio kizazi cha kina jiwe na ,lugola . marehemu samora jioni alivyorudi ikulu alikaza roho akamuuliza marehemu nyerere hivi kwanini unatumia mafunzo ya kijeshi kwa watoto unaotaka wawe wanachama Wa Ccm haya mambo yanawasaidia nini kama nchi kuwangiza katika kujenga mawazo ya siasa badala ya kuwaimarisha fikra za uzalishaji na kujitegemea .mwl alikasirika hakumjibu akaenda kulala akamwacha samora sebuleni . alichofanya samora akawasha video akachukua mkanda Wa vide Wa sherehe zile akawa anaangalia ilivyofika gwaride la chipukizi linatembea gwaride mwendo Wa haraka na muziki Wa brass bendi ukawa unapigwa samora akawa anaulisha maneno ile nyimbo akawa anaimba ile wimbo anasema
Tazama kapanya kadog
tazama kapanya kadogo kanateembea
Tukamuuliza akasema vyama vyetu vya Ccm na frelimo vina viongozi waizi na waopenda kula kama panya na kutia hasara jamii sasa hivi nikiangalia Ccm inaazidi kuandaa panya wadogo wakikuwa wakubwa hawa utaniambia!
Leo ndio naona ya kina lugola waliokuwa chipukizi Wa miaka ya 77 hawa ndio walikuwa panya wadogo wanatembea tembea kwenye viunga vya siasa
Ndio. Huoni issue ya makontena ya Makonda haikuchunguzwa wala kuongelewa tena?Kumbe Takukuru hivi sasa inafanya kazi kwa maagizo ya Mheshimiwa Rais?
Ina maana kama Rais hataki uchunguzi ufanywe dhidi ya raia fulani, hata kama taia huyo amethibitika kufanya uhalifu huo, Takukuru haitafanya uchunguzi huo?
Haya ni masjabu yanayopatikana Tanzania pekee!
Ndio. Huoni issue ya makontena ya Makonda haikuchunguzwa wala kuongelewa tena?
Baba hakuamuru mwanae achunguzwe
Sent using Jamii Forums mobile app