Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Yametimia Hakuna Marefu Yasiyo Na Ncha Sasa Ndiyo Hivyo
 
Lkn kabla hajaenda kumuomba msamaha mzee baba ,Kangi atoke usiku nje ya nyumba yake aangalie juu mawinguni kisha ajipige pige mikono kifuani kwa uchungu(kama king kong anavyofanya) kisha aseme maneno haya kwa sauti mara 4(MIMI NI BOYAAAAAAAAAAAAAAAAA).

dodge
 
Lkn katibu mkuu (Major Gen.) Yeye kapewa ubalozi tayari.

JW wanaheshimika sana aiseee.

dodge
Mkuu, katibu mkuu ndie alie unguza picha baada ya yeye kutoridhika na ile memorandum of understanding na ndipo akaamua kuandika barua ya kujiudhuru.
Hapo ndipo JPM alipo shtukia picha na kisha akakinukisha, na baada ya kukinukisha ndipo akaamua kumteua Balizi huyu katibu mkuu mstaafu wa wizara ya mambo ya ndani. Nadhani Raid aliamua kufanya hivi kwajili ya kulinda usalama wa katibu mstaafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Shetani hana rafiki
 
'Mhe. Rais Magufuli amempongeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Jacob Kingu kwa kuandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake ili kuwajibika kwa dosari hiyo, na amewashangaa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na Kamishna Jenerali wa Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye kutowajibika kwa dosari hiyo-Barua ya Gerson Msigwa

Hicho kipande ukikisoma unaonaje nafasi ya Katibu mkuu kwny tuhuma zile mkuu?

dodge
 
hivi Takukuru ni Bora kuliko Usalama wa Taifa?
 
😳😳😳😳
 
Kangi hakujua anaowakatia viuno Ni waseminari, ingekuwa enzi ya jk angepeta, siku ingine see anasoma upepo
 
sishangaiii sanaaa...wakati fulani waziri mmoja alisema "Tutakula tu majani lakini lazima manunuzi ya ndege ya raisi yafanyike....ndege ikanunuliwa"......miaka ikaendaaa weee ...awamu fulani Jamaa akawekwa chini ya ulinziii..akalala selo segereaaa...akapewa kifungo cha njeeee...kufagia hospitali maeneo ya sinzaaaaa..... siku hizi hasikiki kabsaaaaa

azma ilikuwa kufunika kombe mwanaharamu apite
 
Sasa kama yeye ndo kalisanua ulitaka afanywaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
'Mhe. Rais Magufuli amempongeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Jacob Kingu kwa kuandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake ili kuwajibika kwa dosari hiyo, na amewashangaa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na Kamishna Jenerali wa Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye kutowajibika kwa dosari hiyo-Barua ya Gerson Msigwa

Nionyeshe amelisanuaje hapo.

dodge
 
Ati
"Rais Magufuli akiwaapisha mawaziri na mabalozi aliowateua alikabidhi suala hilo kwa TAKUKURU kwa hatua zaidi na kuisihi mamlaka hiyo kutowaonea huruma waliohusika."

Sasa si amuweke tu lupango maana hata kama hakuvunja sheria kuna amri tyr'

Kwa nn asiache sheria itumike badala ya matamko.

Kama alivishwa ile kofia aliyovishwa Lowasa ili kumsafisha mtoa tamko je!

Hapo ndipo atajua maana ya utengano/uhuru wa mihimili ya serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…