Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Habar ndio hiyo., wale wanaomsifu meco mpka jasho la meno wamuulize KL how he feels right now
 
Naomba kujuzwa: Hivi mikataba ya kimataifa wizara husika inaweza kuingia bila kuidhinishwa na Mwanasheria Mkuu wa serikali??

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani. Ndio maana umeambiwa walitumia loop hole mwanasheria mkuu alipopata msiba wa karibu yake ndio wasaidizi wakapiga mkono fasta kwa influence ya bwana kangi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn katibu mkuu (Major Gen.) Yeye kapewa ubalozi tayari.

JW wanaheshimika sana aiseee.

dodge
Katibu mkuu na naibu ndio walichomesha lile dili. Katibu mkuu ni ktu wa system(TISS) na aliwekwa pale kwa sababu maalum. Kuweni sana na umakini kwa wanajeshi waliowekwa kwenye taasisi mbalimbali. Wanaandika vizuri tu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawasubiri wana kijani...tulishasema Kangi ana kesi ya rushwa akiwa kwenye mojawapo ya kamati za bunge tukaonekana tuna wivu wa nyegere!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wivu mkuu, hizo tuhuma alikuwa nazo ila zilikuwa hazijathibitishwa na mpaka sasa hazijathibitishwa. Kwa hiyo haikuwa sababu ya yeye kutoteuliwa. By the way tuangalie sasa nini kitaendelea kwa kashfa hii maana ndio ipo ya moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanasheria mkuu alikuwa msibani ila vijana wake walihusika wakasaini kwa niaba.....nao wanachunguzwa!

Kangi Luogola kapata shida basi tuache sheria ichukue mkondo wake nasi kukebehi na kufurahia. Mimi sijawahi kukutana na Kangi tokea nizaliwe ila sioni haja ya kuzihaki mtu mwenye matatizo kama walivyofanya kina Maulid Kitenge - Thats nonsense
 
Karma knows everyone address, Karma is a bitch.

Hili la Lugola ni mfano mzuri sana, alisifia saaana leo aliyekuwa anamsifia ndio anaelekea kumuweka rumande.
Alio wanyanyasa Leo Yeye ndio anawasikiliza, hana mamlaka ya kuamrisha hata mgambo wa Jiji
 
Katika hii dunia tujifunze kuwa wapole. Leo hii Lugola anachunguzwa. Lugola aliyekuwa anaongea bila kufikiri, Lugola aliyekuwa anacheza hadharani bila kufikiri, Lugola aliyekuwa anatoa amri bila kufikiri kwanza, huyu huyu Kangi?
 
'Mhe. Rais Magufuli amempongeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Jacob Kingu kwa kuandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake ili kuwajibika kwa dosari hiyo, na amewashangaa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na Kamishna Jenerali wa Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye kutowajibika kwa dosari hiyo-Barua ya Gerson Msigwa

Hicho kipande ukikisoma unaonaje nafasi ya Katibu mkuu kwny tuhuma zile mkuu?

dodge
Mkuu katibu mkuu hahusiki na lile sakata. Acha kupotosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kauli ya Rais popote alipo hata kama hajasema mfanye

ila wizara inayohusika na alichokiongelea Rais hiyo ni AMRI

kwao yawapasa waingie wafanyie kazi,ningewashangaa sana

TAKUKURU wasingechukua hatua zozote, ningewashangaa na nisingeshangaa

kuona Rais anatumbua mtu huko Takukuru kwa uzembe na dharau zao za kutofanyia

kazi kauli za Rais,Pale Rais alishindwa tu kutoa amri ila TAKUKURU walitakiwa wajiongeze tu.
 
Katibu mkuu na naibu ndio walichomesha lile dili. Katibu mkuu ni ktu wa system(TISS) na aliwekwa pale kwa sababu maalum. Kuweni sana na umakini kwa wanajeshi waliowekwa kwenye taasisi mbalimbali. Wanaandika vizuri tu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wkt Magu ile Juzi pale ikulu alisema Naibu katibu mkuu alijua kinachoendelea na hakuchukua hatua yoyote na baadae akampiga na Madongo kidogo Masauni(N/Waziri)

Sasa inakuaje wewe unakuja tena kusema naibu katibu mkuu alichomesha huo mchongo?

dodge
 
Back
Top Bottom