Uchaguzi 2020 Aliyekuwepo hatumtaki na tunayemtaka hatumuamini

Uchaguzi 2020 Aliyekuwepo hatumtaki na tunayemtaka hatumuamini

Ulipo anza kuhusisha ya Libya nikajua tu wewe ni Lumumba's Ila unatafuta huruma.
mimi siyo wa kuhurumiwa wakuhurumiwa ni wewe usiyeona Jema kwa usoni poor man poor vision
 
Nimelishtukia maana wanafikili kutisha watu kiivyo ndio tutaongopa ccm wanaenda kuwa wapinzani hakuna namna ya kushinda wao
Mseme na magufuli amewafanyia nini Watanzania siyo kuwapiga upofu watu kwamba hamna alichofanyia Taifa hili
 
Tunaomfahamu vyema Tundu Antipas Lissu tunamwamini.
 
Mbuzi kama wewe na wajinga wengine ndo hamjui nini mnataka na nani wa kumuamini, sisi wenye akili tunajua wa kumuamini ni Lissu na Mungu wa mbinguni aliyemtuma.
 
Mseme na magufuli amewafanyia nini Watanzania siyo kuwapiga upofu watu kwamba hamna alichofanyia Taifa hili

Ni wajibu wake ,wote waliopita kwenye hiyo Ofice walifanya na waka ondoka.Usi uzungumzie wajibu wa Mtu kuwa kama ni fadhila.
 
We mbuzi ungekua na vision na akili tumamu usingekua unaunga mkono upuuzi wa chama cha kijani.
sipo hapa kutetea chama Cha mtu nipo kukuambia uache kushikiwa shikiwa kuna siku utashikwa pabaya na hizo akili zako kiduchu uwe na logic unapoamua kumsema mtu vibaya ama kumsifia magu kafanya vitu vinavyoonekana na ameweka historia wewe
 
Back
Top Bottom