King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kamati ya mazishi imemtaja m1 wa shemeji aliyemuoa dada yake kanumba ndiye aliyekwapua sh 2.5m na kutokomea nazo huku akitumia gari la kifahari la kanumba Lexus V8 yenye thamani ya sh mil78,akichezesha taya na mwandishi m1 wa wanakamati alisema hizo fedha kanumba alipewa na startimes kwa ajili ya safari za mikoani kwa ajili ya promotion. Hizo fedha ni tofauti na za michango hizi ni za kanumba ambazo zilikua chumbani kwake.
Nawasilisha.
Nawasilisha.