Aliyekwapua fedha za Kanumba afichuliwa::Jambo Leo

Aliyekwapua fedha za Kanumba afichuliwa::Jambo Leo

jambo leo linatafuta wasomaji kwa lazima

dah kweli af hii habari ka imemlenga jamaa kumuangushia jumba bovu ili watu wasahau hizo million 50 zilizotumbuliwa na kamati sishangai source wa habari akawa jb au clouds
 
Hao wanakamati wanamtwisha zigo huyo ili wao wajisafishe mbele ya jamii.
 
Kuna mtu nilisikia/kusoma kwenye vyombo vya habari kuwa yeye ndio kapewa tenda ya kuchapisha T-shirt zenye picha ya The Great.Na alitoa ahadi kuwa kila 1000 kwenye mauzo ya T-shirt atakuwa anadakishwa Mama Kanumba.

Taarifa zozote kuhusu hili pleaz!
 
ni maskini na malimbukeni at the same tym! nakaa mtaa mmoja na ray, namjua toka enzi hizooooooooooo ni kajamba nani, mpaka leo ana jeuri ya kupita mtaani, full tinted, hasalimii watu, ana nyodo hazina mwisho, ila kwa vile na mimi nna tinted, nikionaga gari yake na mimi napandisha vioo juu jaraka sana, WAMECHAKACHUA PESA ZA MSIBA WASIKATAE! SHAME UPON THEM!

Acha chuki binafsi, maswala ya ray yamefikaje hapa?? na wewe ona aibu
 
ni bora kwanza wakatoa report ya mapato na matumizi yao kabla hawajaanza kuwachambua wengine
 
Mtoa mada muongo,gari ya marehemu alinunua 35M tuu
 
Wamejuaje kuwa ndani zilkuwa 2.5, walizihesabu. Vina uhusiano gani na rambirambi.
na nadhani hao wanaoongelea hizo pesa zilizokuwa ndani nia yao ni ku-divert akili za watu kutoka kwenye hoja ya msingi ambayo ni kiasi kilichochangwa msibani ('kwenye sahani') ambacho ukichukua 10m ya JK + 5m ya Iddi Azzan + 15m ya Nchimbi nk wanasema jumla inakaribia 51m.

Mwenye kusema ukweli hapa alete accountability ya hizo na sio kuongelea hizo milioni 2.5

Acha chuki binafsi, maswala ya ray yamefikaje hapa?? na wewe ona aibu

Mkuu sisi waswahili tuna matatizo sana, mtu akiyawezea maisha kidogo basi tunakuwa na nongwa kupitiliza-heri mungu alivyobaki na kazi ya kugawa riziki yeye mwenyewe!!
 
ni maskini na malimbukeni at the same tym! nakaa mtaa mmoja na ray, namjua toka enzi hizooooooooooo ni kajamba nani, mpaka leo ana jeuri ya kupita mtaani, full tinted, hasalimii watu, ana nyodo hazina mwisho, ila kwa vile na mimi nna tinted, nikionaga gari yake na mimi napandisha vioo juu jaraka sana, WAMECHAKACHUA PESA ZA MSIBA WASIKATAE! SHAME UPON THEM!
Who is Ray by the way................................!
 
Back
Top Bottom