na nadhani hao wanaoongelea hizo pesa zilizokuwa ndani nia yao ni ku-divert akili za watu kutoka kwenye hoja ya msingi ambayo ni kiasi kilichochangwa msibani ('kwenye sahani') ambacho ukichukua 10m ya JK + 5m ya Iddi Azzan + 15m ya Nchimbi nk wanasema jumla inakaribia 51m.
Mwenye kusema ukweli hapa alete accountability ya hizo na sio kuongelea hizo milioni 2.5