Aliyemdhamini CHID BENZ anamuangamiza

We umeona anatia huruma sababu ni maarufu mbona wapo wengi tu wanatia huruma zaidi yake?
Umeshasema maarufu..MTU ambaye sio maarufu hapa jukwaani tutamjadili.vipi??au umetoka kupata Chimpumu???
 
Mnh hivi kwa nini huwa mnalaumu wauzajji lack of rensponsibility kwa wazazi ndio kunapelekea watoto kubwia unga, work hard on your children to be rensponsible,god fearing and discplened individuals and they wont touch that stuff...
Like Seriously. ........!!
Lack of resp kwa wazazi ndo inasababisha??Ndugu unauza unga nini?Hivi unajua wapo watu walioanza kutumia unga sababu ya stress za kazi,kuachwa na wapenzi na mitihani mengine maishani?
Unga kuendelea kuuzwa ni tatizo period.
Unaeza kukua ktk hofu ya Mungu na ukaishia uteja vile vile. Watoto wangapi wa viongozi wa dini wanafanya kinyume, wapo wazazi irresponsible yes. Lakini sidhani the blame should go kwa wazazi tu.
 
Sema wewe...yaani mimi nikisikia watu wanawalaumu wazazi hata sielewi wafikiri nini.wazazi wamekulea mpka 18 years umekua safi, umetoka huko kwa kutaka pesa na sifa za haraka ukatumbukia kwenye matatizo halafu mzazi analaumiwa kweli?hey tunawaonea wazazi.mbona ktk familia only chid ndo anatumia mbona hatujaskia his siblings wakitumia?kwani hao wengine hawakulelewa na wazazi wa chid?ni tabia ya mtoto tu.wazazi walishafanya kazi Yao wamemaliza.vijana waache tamaa.tamaa ndo source ya haya yote.
 
Kabisa ndugu. Kitendo cha mtu kumlaumu mzazi kwa jinsi yoyote mara nyingi ni ukosefu wa shukrani na huwa inanikera japo ndio wapo wazazi irresponsible lkn ni cases chache mno. Hakuna mzazi anaraise mtoto kwa kumwambia bangi ni nzuri siku zote atakuonya. Mzazi yeyote humtakia mema mwanae sema dunia ina mengi maovu na ndio yanayovutia ndio maana nikakataa.
 

Attachments

  • 1458412502767.jpg
    23.5 KB · Views: 24
  • 1458412520397.jpg
    23.6 KB · Views: 34
  • 1458412538900.jpg
    14.6 KB · Views: 26
Ruge alimtoleaga dhamana so ndo kamuharibu ivi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…