Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
Umeshasema maarufu..MTU ambaye sio maarufu hapa jukwaani tutamjadili.vipi??au umetoka kupata Chimpumu???We umeona anatia huruma sababu ni maarufu mbona wapo wengi tu wanatia huruma zaidi yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshasema maarufu..MTU ambaye sio maarufu hapa jukwaani tutamjadili.vipi??au umetoka kupata Chimpumu???We umeona anatia huruma sababu ni maarufu mbona wapo wengi tu wanatia huruma zaidi yake?
Like Seriously. ........!!Mnh hivi kwa nini huwa mnalaumu wauzajji lack of rensponsibility kwa wazazi ndio kunapelekea watoto kubwia unga, work hard on your children to be rensponsible,god fearing and discplened individuals and they wont touch that stuff...
Like Seriously. ........!!
Lack of resp kwa wazazi ndo inasababisha??Ndugu unauza unga nini?Hivi unajua wapo watu walioanza kutumia unga sababu ya stress za kazi,kuachwa na wapenzi na mitihani mengine maishani?
Unga kuendelea kuuzwa ni tatizo period.
Unaeza kukua ktk hofu ya Mungu na ukaishia uteja vile vile. Watoto wangapi wa viongozi wa dini wanafanya kinyume, wapo wazazi irresponsible yes. Lakini sidhani the blame should go kwa wazazi tu.
Kabisa ndugu. Kitendo cha mtu kumlaumu mzazi kwa jinsi yoyote mara nyingi ni ukosefu wa shukrani na huwa inanikera japo ndio wapo wazazi irresponsible lkn ni cases chache mno. Hakuna mzazi anaraise mtoto kwa kumwambia bangi ni nzuri siku zote atakuonya. Mzazi yeyote humtakia mema mwanae sema dunia ina mengi maovu na ndio yanayovutia ndio maana nikakataa.Sema wewe...yaani mimi nikisikia watu wanawalaumu wazazi hata sielewi wafikiri nini.wazazi wamekulea mpka 18 years umekua safi, umetoka huko kwa kutaka pesa na sifa za haraka ukatumbukia kwenye matatizo halafu mzazi analaumiwa kweli?hey tunawaonea wazazi.mbona ktk familia only chid ndo anatumia mbona hatujaskia his siblings wakitumia?kwani hao wengine hawakulelewa na wazazi wa chid?ni tabia ya mtoto tu.wazazi walishafanya kazi Yao wamemaliza.vijana waache tamaa.tamaa ndo source ya haya yote.
Kama jela pabaya kamwone sasa hivi ndio utajua nilichoshauri nini.Wengine sie manabii
Ruge alimtoleaga dhamana so ndo kamuharibu ivi.?Hatimaye Rapa Chid Benz leo amefanikiwa kupata dhamana na kutolewa rumande na kurejea uraiani.
Kwa masikitiko makubwa kabisa na dhubutu kusema anaye mmaliza na kumfuta chid benz kwenye ramani ya music au hata maisha yake ni huyo aliyeenda kumwekea dhamana.
Kama alikuwa anasikia kupitia watu kuwa Chid ni teja kitendo kile cha kudakwa live air port kulidhibitisha na kufuta ubishi wa miaka mingi ni kwa nini asingemwacha rumande ili apate muda wa kupumzisha damu then akitoka gerezani moja kwa moja akapatiwe matibabu?
Kwa upande wangu naona huyo aliyemwekea dhamana ni kama amemkatia tiketi ya kifo tu wala sioni msaada wake!
Ni hayo tuu.