Aliyemdhamini CHID BENZ anamuangamiza

Aliyemdhamini CHID BENZ anamuangamiza

jamaa anatia huruma sana, we should pray 4 him.

tumuombee kwa kubwia unga? this is a big joke...go to hell Chidd Benzinoo,,anyway kwa taarifa tu leo alipofika masikani kwake kavuta unga mpaka kazima.
 
Mnh hivi kwa nini huwa mnalaumu wauzajji lack of rensponsibility kwa wazazi ndio kunapelekea watoto kubwia unga, work hard on your children to be rensponsible,god fearing and discplened individuals and they wont touch that stuff...
 
Jamani kupewa dhamana ni HAKI yake kikatiba!
 
Siku moja lala rumande na teja mbona mtakoma anavyoharisha kwa alosto.

waambie hao watoto wa mboga saba hawajui maisha hayo..chidy kwanza alistahili dhamana..mtaani kila siku watu wanakutwa na kete nyingi na wanapewa dhamana.....ketw 20 hufungwi kwani huyo ni mtumiaji tu kutwa na kg ndyo utajua uzito wa kesi yake
 
Hatimaye Rapa Chid Benz leo amefanikiwa kupata dhamana na kutolewa rumande na kurejea uraiani.
Kwa masikitiko makubwa kabisa na dhubutu kusema anaye mmaliza na kumfuta chid benz kwenye ramani ya music au hata maisha yake ni huyo aliyeenda kumwekea dhamana.
Kama alikuwa anasikia kupitia watu kuwa Chid ni teja kitendo kile cha kudakwa live air port kulidhibitisha na kufuta ubishi wa miaka mingi ni kwa nini asingemwacha rumande ili apate muda wa kupumzisha damu then akitoka gerezani moja kwa moja akapatiwe matibabu?
Kwa upande wangu naona huyo aliyemwekea dhamana ni kama amemkatia tiket ya kifo tu wala sioni msaada wake!
Ni hayo tuu...!!!!!!!
Nyimbo mbaya haimbiwi mtoto,ivi angekua mwanao hata angekua mwizi na unajua kama anaibia watu usingemchukulia dhamana?
pengine hiyo ndio itakua dawa yakujirudi makosa yake,sio vizuri hakuna kizuri kisicho ila omba Mungu akuepushie misukosuko..........
 
Hatimaye Rapa Chid Benz leo amefanikiwa kupata dhamana na kutolewa rumande na kurejea uraiani.
Kwa masikitiko makubwa kabisa na dhubutu kusema anaye mmaliza na kumfuta chid benz kwenye ramani ya music au hata maisha yake ni huyo aliyeenda kumwekea dhamana.
Kama alikuwa anasikia kupitia watu kuwa Chid ni teja kitendo kile cha kudakwa live air port kulidhibitisha na kufuta ubishi wa miaka mingi ni kwa nini asingemwacha rumande ili apate muda wa kupumzisha damu then akitoka gerezani moja kwa moja akapatiwe matibabu?
Kwa upande wangu naona huyo aliyemwekea dhamana ni kama amemkatia tiket ya kifo tu wala sioni msaada wake!
Ni hayo tuu...!!!!!!!

Ulitaka afanyie wapi majaribio ya Sembe zake?
Mercedes ni Tester
 
Kwa nchi za wenzenu ukimkamata mtumiaji na akakiri njia mbadala ni kumsaidia sio kumfunga ni kumpeleka kwa washauri nasaha vizuri kumtumia huyo chid benz aelezw wapi anaununua huo unga
 
kunakitu kina itwa resistance. na hii iko tofauti kati ya mtoto na mtoto jinsi anavyoweza kukabiliana na changa moto za maisha na sio maelezi tu ykkutoka kwa wazazi.hujaona kunawatoto wanatoka familia yenye heshima wengine wazuri wastaarabu na wengine wezi watumiaji madawa kama ulivyosema??.nadhani hakuna mzazi hata mmoja duniani ambaye anaweza mwachia mtoto wake akawa hivyo hata wewe mwenyewe.labda tukupe muda ukipata utajua vizuri.usisahau jamii nje labda umfungie kwenye box. ni kuomba mungu tu.nasema hivi sio kwasababu nimezaa hapana wala mtoto sina ilanimeona kwa ndugu wa karibu sana.sio malezi ni mtoto mwenyewe.
Mnh hivi kwa nini huwa mnalaumu wauzajji lack of rensponsibility kwa wazazi ndio kunapelekea watoto kubwia unga, work hard on your children to be rensponsible,god fearing and discplened individuals and they wont touch that stuff...
 
Hivi Ray C alitaja mtandao wa madawa au aliishia kusaidiwa tu na mkuu? Chidi naye akaombe msaada kwa presidaa
 
BASATA itoe msaada kwa Chidi Benz.Tunampoteza
 
aisee ulinena , angekuwa jela asingekuwa hivi. Siamini chidbenz kuwa kama Amber Rose
 
Back
Top Bottom